Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Mmarekani anatumia demokrasia kutetea interests zake. Huwa hajali kabisa nchi inaachwaje, ukiangalia ya Libya hadi roho inauma. I hope nae atetemeshwe kiasi
 
Kimbinu mapigo yataelekezwa [emoji117]Yalikotikea makombora NA makao makuu YA walinzi WA mapinduzi [emoji109][emoji109]
Kama ayatola anakaa maeneo HAYO ahame mapema akiwa amevaa baibui [emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huwa unafuatilia Habari kwa umakini mkuu?Mbona Marekani wenyewe wamekiri Iran imezishambulia kambi zake zenye wanajeshi nchini Iraq na wapo katika hatua yakutathimini casualties na mengineyo sasa iweje useme wamerusha makombora pembeni?
Wangap wamekufa au iran alikwepesha akatupa makombora pemben ya kambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabomu ya Mbagala na Gongolaboto tu mnaomba poo sasa mnataka wenzenu waingie kwenye vita? Kuweni na imani na roho za wenzenu sio mnaomba yawafike wao tu. Sababu wewe unaangalia kwenye YouTube au Habari.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Iran wewe ni mwanangu wa muda mrefu sana huwa nakutetea sana lakin siku hizi umekua muoga wa waoga sana aisee

Yaan kamanda mkuu wa jeshi kauwawa alafu wewe unaenda kulipiza kisasi kitoto toto tu

Yaani upapiga off target katika kambi za America huko Iraq sasa ndo nini sasa

Ua hata wanajeshi 50 basi

Siyo unaenda kulipa kisasi hujaua hata mmoja alafu unajisifu hapa

Umeniangusha sana mwanawane Iran


LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa fikiria Iran amelipa kisasi ndani ya muda mfupi tangu Jenerali wao auwawe huku Marekani ikiwa kwenye high alert na bado kambi zake zikashambuliwa.Hadi hapo huoni tu nguvu ya Iran tofauti na unavyofikiri mkuu?Ulisema Iran hatothubutu ku retaliate Sasa ndo kafanya tayari.
Wangap wamekufa au iran alikwepesha akatupa makombora pemben ya kambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…