wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ngoja leo ahutubie taifa tusikie anasemaje maana jana iran kaharibu hali ya hewa kwa makombora yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ujue mashambulizi yote ya usa syria usa aliomba RUHUSA kutoka kwa russia.Mkuu umesahau alivyoipiga Syria mbele ya russia na Russia wakaufyata
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump hawezi kukuangusha. Trump is coming. It will be very hard and Fast and Strong.
Tehran sio magogoni.Itakuaje Marekani akivurumisha makombora direct kwenda ikulu ya mfuga ndevu mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi kama ikiingilia kati mmarekani ataomba pooMmarekani nae nimeshamchoka kwa kuharibu. I hope one day powerful countries ziungane ili zimshikishe adabu
Tuliwaambia Hawa waajemi hawapendagi ujinga
Mambo mengi yanaenda kutokea,waathirika ni wengi ukiwemo weweTrump atapigwa
Mmarekani anatumia demokrasia kutetea interests zake. Huwa hajali kabisa nchi inaachwaje, ukiangalia ya Libya hadi roho inauma. I hope nae atetemeshwe kiasiHalafu vita dhidi ya Iran havitakua vya kawaida maana kule mamilioni Wa-Iran wenyewe ni full mzuka na mihemko, hivho Marekani hatopigana akiwa na nia ya kuwakomboa dhidi ya utawala, kwa kifupi hapeleki 'demokrasia' kama afavyo kwenye mataifa mengine, hii itakua vita baina ya Marekani na Iran, tofauti na ile ya hapo Iraq ambayo ilikua baina ya Marekani na Saddam.
Tegemea mamilioni wa Iran kujiunga kwenye ugomvi wakielekea Iraq kuliko wanajeshi wa Marekani, kwa hivyo firepower atakayotumia Marekani ni 'carpet bombing', yajayo yamekaa ovyoo kishenzi, hawa wanataka kutuharibia kadunia ketu haka.
subirini muone huo moto wakeTrump wigi limechomoka yuko analiweka sawa.
dodge
Elungata tupe ripoti uharibifu na vifo vimetokea us base?Tuliwaambia Hawa waajemi hawapendagi ujinga
Yesu karibu anarudi
Wangap wamekufa au iran alikwepesha akatupa makombora pemben ya kambi
Sent using Jamii Forums mobile app
Do u realy believe that bro..daah,eneweiSAFI ..NA HUU NDIO UKWELI...
Mimi sio mtalaamu sana wa Maandiko na Tabiri, Ila katika kujifunza ,
Inaonyesha tupo Juma LA Mwisho la kuishi kwa Mwanadamu.
Hesabu hazidanganyi.
Wangap wamekufa au iran alikwepesha akatupa makombora pemben ya kambi
Sent using Jamii Forums mobile app