Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Okay byeHiyo ni history,sio ufunuo,habari iliandikwa baada ya matukio,ukiifuta history,kwanza babeli haikuwa falme ya mwanzo,pili babel sio ufalme pekee ulioanguka Hadi kwamba uhitaji unabii,mbona hakuna unabii wa British empire?,Songhai au Mali empire,
Angalia timeline ya Daniel kazaliwa lini,kafa lini na Nani mwandishi halisi was kitabu hicho