Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hiyo ni history,sio ufunuo,habari iliandikwa baada ya matukio,ukiifuta history,kwanza babeli haikuwa falme ya mwanzo,pili babel sio ufalme pekee ulioanguka Hadi kwamba uhitaji unabii,mbona hakuna unabii wa British empire?,Songhai au Mali empire,
Angalia timeline ya Daniel kazaliwa lini,kafa lini na Nani mwandishi halisi was kitabu hicho
Okay bye
 
Mkuu we ni me au ke?
Maana unapenda uongo na habar Za umbea balaa[emoji23]
The Mohajer was Iran's first drone to enter series production and was used during the Iran–Iraq War. The Mohajer-1 was known simply as "Mohajer" through the 80s and 90s, when it was re-designated "Mohajer-1" as other Mohajer variants had been developed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana Utam, UNAPO MJUA ADUI YAKO
UMESHINDA NUSU YA VITA!
ZILE DRONE ZA US ZILIZO SHUSHWA NA IRANI NI MOJAWAPO YA MBINU YA KUMJUA ADUI YAKO!
KOSA ALILO LIFANYA IRAN BAADA YA KUSHUSHA ZILE DRONE NI KUZIPELEKA KWENYE SEHEMU ZAKE NYETI KUZIFANYIA UCHUNGUZI!
KUMBE WAO NDIO WANACHUNGUZWA....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kushushwa kwa zile Drone Haukua Ushindi Wakumjua Adui hiii na zile Drone zilipelekwa sehem Nyeti Gan kwan [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tano nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nchi zenye uwezo was kufyatua kombora mfano toka mbeya likatue kwenye nyumba specific kwa mtogole precisely ni chache kwelikweli.
IMG_20200109_002626.jpg
 
Naona watu wengi washabiki wa Iran wanashabikia wasicho kijua .

Iran walikua wanasherekea mwaka mpya kwa kurusha tufani hewani,Ni sawa kabsa na kurusha mawe juu ya paa at least hata warushe mawe kwenye madirisha wanaweza vunja vioo.Na wanacho kifanya Iran ni kubweka tu.Eti wameua wanajeshi 80 wa Marekani, habari za chekechea wanampa nani? Iran wakae chini wafyate mkia kuepusha mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: A3M
ah haya wanayoyaanzisha yanaanza kutucost mpaka sisi huku, bei ya mafuta tayar namba zinasoma kirumi
 
  • Thanks
Reactions: A3M
Naona watu wengi washabiki wa Iran wanashabikia wasicho kijua .

Iran walikua wanasherekea mwaka mpya kwa kurusha tufani hewani,Ni sawa kabsa na kurusha mawe juu ya paa at least hata warushe mawe kwenye madirisha wanaweza vunja vioo.Na wanacho kifanya Iran ni kubweka tu.Eti wameua wanajeshi 80 wa Marekani ,habari za chekechea wanampa nani ?? Iran wakae chini wafyate mkia kuepusha mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unaimba taarabu kama mwanamke wa Tanga/Pwani/Zanzibar?

Ngome za Trump zimepigwa, drone yao ya kisasa na ya gharama imeshushwa, kule saudia visima vimepigwa tena jirani kabisa mwa kambi za usa!

Sasa wewe kaa hapo endelea kuimba taarabu!
 
Mkuu mbona unaimba taarabu kama mwanamke wa Tanga/Pwani/Zanzibar?

Ngome za Trump zimepigwa, drone yao ya kisasa na ya gharama imeshushwa, kule saudia visima vimepigwa tena jirani kabisa mwa kambi za usa!

Sasa wewe kaa hapo endelea kuimba taarabu!
Kwahiyo Iran atashinda?
 
MK254 asante kwa uchambuzi mzuri.Kwa jinsi Marekani ilivyo respond,naweza kusema mambo matano yafuatayo:-
1.Makombora 22 hayawezi kukosa kuua askari hata mmoja wa wa Coalition forces (Marekani,Poland,Denmark etc.),askari wao wameuwawa ila Trump anaficha ukweli.
2.Iran imewadhalilisha sana Wamarekani kwa shambulio hili,na imeonyesha wazi kwamba ni nchi yenye nguvu nyingi za kijeshi na nchi za Mashariki ya Kati na West Asia zinaweza kuitegemea.
3.Iran pia imeonyesha kwamba hata pamoja na vikwazo vingi vya kinyama vya Marekani imeweza kustahimili na kwa hiyo nchi zingine zinaweza kupinga hegemony ya Marekani na zikastawi.Ni mfano mzuri wa kuigwa kwa kweli.
4.Iran imeonyesha dunia kwamba The American Empire is on the decline,na kwamba nguvu inazodai inazo haina kwa sasa,ni debe shinda.Ukweli ni kwamba America depends on mercenaries for its' many wars,huku the few soldiers it has wakitumika for logistics and air combat.The truth however is that the Airforce can never win a war,it is soldiers on boots who wins a war.
4.Marekani kwa kusema kwamba hawahitaji mafuta ya Mashariki ya Kati inaonyesha wazi kwamba sasa ina mpango wa kuondoka Mashariki ya Kati.Hata hivyo ni vema ikafanya hivyo haraka kwa kuwa isipofanya hivyo,askari wake watarudi Marekani in plastic bags.Hali ilivyo Mashariki ya Kati ni ya hatari mno kwa Marekani na other coalition forces.
5.Kwa missiles hizi za Iran with pin pont precision na ambazo zimeweza ku-evade anti-missile systems na missile interceptors za Coalition forces,Iran imeonyesha kwamba ina missile technology ambayo is too superior to Israel and American technology,kwa hiyo Israel na Marekani sio tishio tena kwake.Soma hii comment ya a certain Israel website called DEBKAfile.

I quote "The Israeli website billed the revenge strikes as the first missile attacks to take place on US military targets since the Korean War.

Commenting on the retaliatory strikes that hit Ain al-Assad, the website said they served to prove how well Iran had honed the precision of its missiles, describing the achievement as a breakthrough. It cited one analyst as saying that the counterattacks were precise enough to strike some individual buildings’ dead center." Unquote.

Nimalizie kwa kusema Bravo Iran,you are our role model.You have shown that we can stand up against US hegemony, bullying,tyranny and imperialism and win.
 
Back
Top Bottom