Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Status
Not open for further replies.
subiri aanze kupitisha bakuli siku akiugua..
kwenye starehe wanatumbua wenyewe ikifika kwenye shida watanzania naomba mnichangie niende INDIA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasema wameanzisha kundi lao wanajiita drama queen yupo uwoya, wolper, sepetu, kajala, lulu, na aunty ezekiel, nimeona wamewabwaga wengine kama shilole naona kachukia huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] na shamsa naona amejibembeleza kwa kumsifia uwoya kwenye comment ila ajajibiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] , shilole ndio kanunaa huyo
Sasa si afadhari shilole anatafuta mkate kwa jasho lao, hawa wengine kutwa wao kudanga na kuwauza watoto wa kiume wa watu, kwa jamaa wa kiarabu, kiitaliano na kifaransa, ndo ujanja?

Msieeeew zao. Woiiiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake uwa wanazaliwa na mitaji usijiulize sana.
Unaweza ukawa na demu nyote mmepigika mtaani ila maisha yake yakabadilika wiki inayofuata akawa sio level yako kabisa.
Ni kweli
 
Na sherehe za zamani kabwili alikuwa ndio rafiki mkuu wa huyo dogo.kumbe ilikuwa swala la muda tu.

Bado ni swala la muda tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu uwiiiiih.
 
Sasa si afadhari shilole anatafuta mkate kwa jasho lao, hawa wengine kutwa wao kudanga na kuwauza watoto wa kiume wa watu, kwa jamaa wa kiarabu, kiitaliano na kifaransa, ndo ujanja?

Msieeeew zao. Woiiiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku ndiko uwanja wako wa kujidai na kule MMU ila sio kwenye Dark days
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom