Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
Unampaje onyo mtu uliyekwishamfukuza🤣
😂
 
Kumbe we kiazi, kama unaamua kuachana na ukatoliki unauacha na kwenda unakojua, ila sio kufanya umalaya wa kidini
 
Unampaje onyo mtu uliyekwishamfukuza🤣
😂
Unabishana na Waraka.

Tubu unasemehewa.

Usipotubu sakramenti hupewi na uondoke kwenda kwa Mwamposa.

RC kiboko yenu ni Martin Luther tu. Alipindua meza kibabe.
 
Hii ni vita ya kimaslahi zaidi..rc wanaona wakichekea waumini kwenda kwa hao wachungaji wa kilokole..sadaka zitapungua kwenye makanisa yao.

Kwangu mimi mkristo Cha msingi ahuribir injili ya Yesu kristo iokoayo.

Iwe anatafuna pesa za waumini ama hatafuni..chamsingi kristo anahbiriwa..na watu wanampokea na kuacha njia nazo mbaya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwamba mwamposa analeta mgawanyo wa sadaka
 
Mathayo 23:13 mkuu nakazia
Wao wako malangoni na wanazuia watu kuingia,na wao wenyewe hawaingii!
 
Na RC HUWA hawatanii utasikia na ukifa hatukuziki hata kama mkisafirisha hatuwapi barua ya utambulisho huko muendako.
Wamechelewa Sanaaa
Zama hizi sio zile,makanisa yenyewe yalikuwa machache, sshv makanisa kibao,watumishi wa Mungu kibao kwenye redio,TV huko mafundisho kila kona!
Imekula kwao
 
Waoh hawajazuia ww kwenda, Ila wametoa masharti Yao, mbona jamaa wameweka na facts kabsa.
Jaribuni kuwa waelewa. Wala hamna wanaotishwa, ni hivi ukienda huko Sisi tunaamin umepotea hakuna utajiri bila kazi,
Uhuru wa kuabudu uheshimiwe
Kinachowauma sadaka tu,hizo nyingine mbwembwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…