Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

Wamechelewa Sanaaa
Zama hizi sio zile,makanisa yenyewe yalikuwa machache, sshv makanisa kibao,watumishi wa Mungu kibao kwenye redio,TV huko mafundisho kila kona!
Imekula kwao
Mkuu, imani ya kweli huwa haibadiliki. Yaani TV na kuongezeka kwa makanisa ndiko kubadilishe misingi ya imani? Nadhani unajichanganya mahali, siasa ndio huwa inabadilika kulingana na upepo, lakini kama kuua na kuzini ni dhambi tangu enzi za Musa, basi kutaendelea kuwa ni dhambi hata kama kutaongezeka makanisa na TV
 
Frank anarudi!
Lkn pia mkuu, Gwajima mbona yuko Moro,Dodoma kamaliza nyomi km lote!mchek utube,ni vile tu hana TV ila nae yuko vzr

Pia kila mtumishi anafanya kazi kulingana na alivyoitwa na maelekezo yake,hawawezi kufanana!
Ndio Mungu alivyo!
 
Safi sanaaa,bora walisepa !
Mi sitaki mtu afungwe na dini,dhehebu,kanisa au mtumishi Fulani,ni upumbavu!
 
Hii inataka iwe battle kama ya Kanisa Katoliki Jimbo la Ifakara&Mahenge na Bibi Kalembwana aliyekuwa ananyoa watu kutoa uchawi, illikuwa Ukienda kunyolewa unatengwa na kanisa. Askofu Ndorobo ilibidi amfate Bibi Kalembwana
Eeh hii sijawahi sikia mkuu!
Hebu ongeza nyama
 
Acha ujinga anauza maji gani?
Mbona mi naona watu wanaenda na maji yao,wananyanyua anayaombea? Shida ni nn?

Haya tbjoshua kaingiaje hapa?
 
Sijajichanganya!
Na hapa hatukuongelea dhambi! Amri ziko palepale na hakuna mtumishi ambae kabadirisha hilo!
Mi nimesema mambo yamebadirika watu sshv wanapata mafundisho kupitia sehemu mbalimbali sio km zamani ni kanisani tu,tena biblia anasoma padri tu!
Sshv watu wameelewa wanasikiliza ,wanasoma wanafunguka!
Hivyo huwezi kumtisha mtu na makanisa yalivyo mengi hivi,mbona wengi tu watahama!
 
RC kanisa kuuubwa ila hawana nguvu za MUNGU. Wao ni porojo tu hata uwapelekee mgonjwa wa Mafia HAWAWEZI kumuombea.

Wanasubiri uumwe, uzidiwe wakupe sala ya mwisho kama PENGO alivyomfanyia Magufuli 17/03/2021.

YAANI WANAVAA MAMISALABA MAKUBWA ILA UPAKO ZERO.

ACHENI WIVU.
 
Hivyo huwezi kumtisha mtu na makanisa yalivyo mengi hivi,mbona wengi tu watahama!
Tatizo mmekurupuka, eti wanahama! RC hawahitaji watu wa namna hiyo ndio maana inawasidia kuhama. Kama ulikuwa unadhani muumini kuhama RC inaleta shida kwa Kanisa, basi umejidanganya. RC usiposimama katika mafundisho yake huwa hawasubiri uwatangazie umehama, wanakuhamisha mapema kwa kukufungia sakramenti ili ukashiriki huko unakojua. Atakayejisikia kutaka kurudi ni lazima akiri imani Kanisani, tena sio kwa Padri, ni katika misa mbele ya waumini wengine. Kwa hiyo hameni tu, tutawasaidia kuhama kwa kufunga sakramenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…