TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

haya niwaulize makada mlio humu vp hiyo inafurahisha au ina huzunisha?
 
Soon lawama atatupiwa CDM . au plan yao ni kuleverage mambo ionekana kuenguliwa majina haina uzito kama kuuliwa .

Let us keep them talking the whole day wasiojulikana watajulikana
 
R.I.P Mzee mohamed Kibao
 
Soon lawama atatupiwa CDM . au plan yao ni kuleverage mambo ionekana kuenguliwa majina haina uzito kama kuuliwa .

Let us keep them talking the whole day wasiojulikana watajulikana
Kama ile ya dr. Mvungi ati panga lina bendera ya chama
 
Mbona wanawake wote ws CCM wanafanana sura na maumbile!
 
CCM wanauana wenyewe
 
Mkuu unaijua karma?!!
nachofahamu ni kwamba kila mwanadamu ana karama kama zawadi alopewa na Mungu.

Tutumie karama zetu kwa manufaa yetu na wengine kwa upendo gentleman, na Mungu atatubariki sana 🐒
 

====
Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo
cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana.

#PumzikaKwaAmani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…