Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Hoja za JF zinawashinda mnakuja na matusi, huko mitaani mnaanzisha chokochoko halafu mnauwa halafu mnakuja humu mbio na kusambaza polisi wameuwa. Juzi Morogoro mliuwa kwa nondo, mmestukiwa, leo Iringa mmeamuwa kutumia risasi.
Hii njama yenu itajulikana na wengi tu, wachache tumeshaijuwa.
Proudly to be banned because of this Mother****en Pigllet.Wahuni hawa wafuatao: 1. Dhaifu 2. Liwalo na Liwe 3. IGP 4. endeleza na wengine.Wewe ni zaid ya Maku ndio maana toka mwanzo unaleta use&%$#N*&^Ge tu hapa.Kakojoe ulale!
Thead hiyo ilikuwa na kichwa POLISI WANAJIPANGA KUUWA KWENYE MKUTANO WA CDM MUFINDI.
sasa polisi watasemaje ju ya mauaji ya hili,?nadhani vyombo vya habari viandamane mpaka kieleweke,hawawez wakawa wanatupeleka kijinga.
Katazo la mikutano ya chadema lingekuwa na mantiki kama shughuli zote kitaifa zingesimama...watu wasiende kazini, wasiende kuabudu, wasiangalie mpira nk... ni wazi chadema wanaonewa lakini yana mwisho...Hivi ni kweli huko Bububu CCM waliruhusiwa na polisi kufanya mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa kampeni ya uchaguzi? Huyo RPC kamuhanda anajibu nini kuhusu hilo? Au zanzibar hakuna sensa?
Jamai polisi, mnapoambiwa mnaionea CDM mnapinga -- haya, hilo linawasuta! Mnatumika kiasi hata utu wenu unatoweka. Ipo siku askari walio chini yenu watagoma kutii amri zisizokuwa na common sense.
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.
Masikini amekufa kifo kibaya, huzuni kubwa kwa famili yake. Tusubirie stori ya hao wauaji maana lazima waje na version yao. RIP Mwangosi!!