Uchumi duni!!? Hali ya ubaridi ndio inawafanya washindwe kufua blanket zao lakin sio kwamba a guest house itakosa mia tano ya sabun ya unga!?Hii kitu ni indicator ya uchumi duni. Wadadu wote hao wanatokana na uchafu uliokithiri wa mwili na mazingira
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Naomba tu wasininyime ulanziKuna watu unawatafuta , si bure
Kama umend iring ukakutan na ivyo vitu usihusishe mkoa mwngne kam ulivyoutaja wa njombe sis njombe hatuna ivyo vituππππ imeisha iyoooKwa ambao hamjui chawa nawasihi mtembelee vijiji vya Iringa mjionee!
Kutokana na jiografia ya ubaridi, wadudu hawa wamekita kambi mkoa huu! Inahitajika tahadhari kubwa sana kukwepa chawa uwapo mkoa huu...
Ndo unakuta miguu inapinda kwenda upandeDah sasa MTU anatembea vipi?
Wengine wanagandiaga kwenye ngozi kusubir subUchafu uliokithiri chawa dawa yake ni pasi na kufua na maji moto
Zafanana jamani[emoji28][emoji28]Zafanana Imejifia Long Time
Ilikuwa Dar es Salaam, Korogwe, Gonja, Mashewa
Habari Kubwa Sasa Hivi Nadhani Ni Burdan Tosha!!
Kilimanjaro zaman kulikuwa na baridi, sasa hivi joto ndo maanaSuala la chawa ni uchafu uliokidhiri sio baridi..nakumbuka miaka ya 94's kilimanjaro zilikua zinasumbua sana....baada ya maendeleo na kustaarabika wamepotea kabisa
Ungekuwa wewe ungependa tukuweke picha yako mtandaoni na wigi la mayai ya chawa?Hakuna ata vipichapicha...
Ndio mdemu wa Iringa ,hauitaji kuambiwa ww angalia vidole vya miguu tu .ππππMkuu niliposoma tu uzi nikamkumbuka demu rafiki yangu nasoma nae. Ana vidole vimeachana, vina usugu, kucha zimekomaa. Ila ana mwili mzuri, miguu mizuri sana na ngozi nyororo. Nilikuwa nashangaa utofauti wa ngozi yake na ya vidole.
Weka tuu mkuu....sisi wengne chawa hatuwajuiUngekuwa wewe ungependa tukuweke picha yako mtandaoni na wigi la mayai ya chawa?
Kama ni hivyo hili ni janga la kitaifa..wananchi wa iringa wahamishweHali ya funza maeneo hayo na hasa Mufindi ni mbaya sana. Ukiona vidole vya mhanga wa funza hulali Iringa
mnaniita?Vipi funza huko
Panda basi njoo Iringa nauli nitakulipia ukifika! Uje uone mwenyeweWeka tuu mkuu....sisi wengne chawa hatuwajui
Embu walete uku dar,niwapeleke hifadhi ya taifa...Panda basi njoo Iringa nauli nitakulipia ukifika! Uje uone mwenyewe