Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

Wongo mm naishi njombe na mke wangu na familia yangu mambo hayo hayapo..
 
Ukweli mtupu! Nimetembelea maeneo ya Malangali, Ifunda, Nyololo, Makambaku, Ulayasi na Madaba chawa ndio kwao na mimi nimeondoka nao.

Nimerudi Same nimefua nguo kwa maji ya moto nikanyoa na mkulungu (kipara) angalau sasa nina ahueni.
Pole jirani usije tu ukatuletea huku Stelingi 🤣 (Joke)
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] najaribu vuta picha nimeishiwa pozi
 
Asante kwa taarifa
 
Sehemu za baridi Funza hawakosekani

Sababu Kuna vumbi vumbi sana

Unachotakiwa fanya Ni kutembea umevaa viatu na soksi kila wakati kandambili vaa ukienda chooni tu

Otherwise uwe ndani ya viatu na soksi full unless uwe umelala[emoji1]
 
Sehemu za baridi Funza hawakosekani

Sababu Kuna vumbi vumbi sana

Unachotakiwa fanya Ni kutembea umevaa viatu na soksi kila wakati kandambili vaa ukienda chooni tu

Otherwise uwe ndani ya viatu na soksi full unless uwe umelala[emoji1]
Kuna uhusiano kati ya baridi na vumbi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…