Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la Polisi linafanya kazi kubwa yakuhakikisha linalinda usalama wa watu na mali zao, hali tuliyo nayo ya utulivu na Amani ni kazi kubwa inayo fanywa na POLISi ila kuna matukio kadha wa kadha yanayo ishushia POLISI heshima na kutoaminika kwa wananchi kwa sababu ya wanasiasa.Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS.
Hata hivyo, kupitia ukurasa wake wa Twitter siku ya Jumatatu, Nkuna alidai kushambuliwa na watu wasiojulikana. "Nimeshambuliwa na watu wasiojulikana nikiwa barabarani hapa Iringa," aliandika.
Aliongeza kuwa baada ya kufika kituo cha polisi, viongozi wa Chadema walifika kumuunga mkono.
“Tunatoka Kituo Kikuu cha Polisi Iringa na naelekea kwangu. Kesho tutajua nani alikuwa wanataka kunikamata barabarani usiku huu kwa kunizuia mbele na nyuma. Tutaujuza umma kwa kila hatua”, alisisitiza Nkuna katika chapisho lingine.
Jeshi la Polisi limekanusha madai hayo, likieleza kuwa hakukuwa na shambulio, na tukio hilo lilitokana na ajali iliyosababishwa na Nkuna mwenyewe akiwa amelewa.
Naam Basi N,Unaamini mlevi aliyesababisha ajali anaweza ku tweet usiku huo huo ?
Jeshi la Polisi linafanya kazi kubwa yakuhakikisha linalinda usalama wa watu na mali zao, hali tuliyo nayo ya utulivu na Amani ni kazi kubwa inayo fanywa na POLISi ila kuna matukio kadha wa kadha yanayo ishushia POLISI heshima na kutoaminika kwa wananchi kwa sababu ya wanasiasa, Niwaombe Jeshi la POLISI lisijiingize ktk kufanya kazi kwa shinikizo za kisiasa au matakwa ya baadhi ya wanasiasa ili kurudisha heshima na Uaminifu waliujenga kwenye Taifa hili kwa Mda Mrefu. Katiba ya nchi ndiyo inasababisha Jeshi letu la POLISI wakati mwingine kuweza kuendeshwa hata na mkuu wa wilaya au mkoa, wakati hawana weledi wowote wa ulinzi na usalama. Tulisaidie jeshi letu lifanye kazi kwa weledi na ufanisi ili nchi yetu isiingie kwenye machafuko. Lisikubali kufanya kazi kwa mashinikizo na maagizo ya wanasiasa ila wafanye kazi kwa kuzingatia haki na utawala wa sheria.
Kweli kabisa, na wapewe maua yao.Jeshi la Polisi linafanya kazi kubwa yakuhakikisha linalinda usalama wa watu na mali zao, hali tuliyo nayo ya utulivu na Amani ni kazi kubwa inayo fanywa na POLISi
Na hilo ni kweli. Ila kuna kampeni ya makusudi ya kulichafua jeshi letu la polisi, kuna upotoshaji wa makusudi sio tu kutoka kwa baadhi ya Wanasiasa, bali pia magaidi ya mtandaoni.ila kuna matukio kadha wa kadha yanayo ishushia POLISI heshima na kutoaminika kwa wananchi kwa sababu ya wanasiasa,
☝🏿 Hakika.Niwaombe Jeshi la POLISI lijiingize ktk kufanya kazi kwa shinikizo za kisiasa au matakwa ya baadhi ya wanasiasa ili kurudisha heshima na Uaminifu waliujenga kwenye Taifa hili kwa Mda Mrefu. Katiba ya nchi ndiyo inasababisha Jeshi letu la POLISI wakati mwingine kuweza kuendeshwa hata na mkuu wa wilaya au mkoa, wakati hawana weledi wowote wa ulinzi na usalama. Tulisaidie jeshi letu lifanye kazi kwa weledi na ufanisi ili nchi yetu isiingie kwenye machafuko. Lisikubali kufanya kazi kwa mashinikizo na maagizo ya wanasiasa ila wafanye kazi kwa kuzingatia haki na utawala wa sheria.
Inahitaji akili ya mwendawazimu kuwaamini polisiccmWataweza kuthibitisha kama alikuwa amelewa?
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kendelea kutawalaCDM lazima muelewe sasa kwamba hampambani na CCM bali mnapambana na DOLA ya Tanzania.
Hii vita ni ngumu mno, ukiwa muoga huwezi kusogea mbele hata hatua moja.
Inahitaji akili ya maiti kuwaamini polisiccmNdugu zangu Watanzania,
Inaonyesha CHADEMA imejaa walevi wa pombe na wanaopenda sana ulevi na unywaji wa pombe kupita kiasi.inaonyesha wao na Pombe ni damu damu.nazani pia mnakumbuka mchungaji peter Msigwa aliwahi kumtuhumu naibu katibu mkuu Benson Kigaila kuwa alinyweshwa sana Pombe siku moja Kabla ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa na kambi ya mpinzani wake.
Pia mnakumbuka kiongozi wao pia mkubwa Alilewa sana pombe akiwa Dodoma mpaka kudondoka na kuumia Mguu wake na kusingizia alivamiwa. Watanzania tusiruhusu hawa watu wakapewa madaraka maana watauza Nchi kwa kupewa Pombe .watasaini Mikataba wakiwa wamelewa chakali mpaka Taifa lipate aibuView attachment 3112762View attachment 3112763
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CHADEMA Acheni ulevi wenu wa kijinga .mtakufa kabla ya siku zenu.Inahitaji akili ya maiti kuwaamini polisiccm
Huna akili unawaamini hao majambazi wanaova uniformCHADEMA Acheni ulevi wenu wa kijinga .mtakufa kabla ya siku zenu.
Ilikuwa sahihi kuvipiga marufuku viroba!Ndugu zangu Watanzania,
Inaonyesha CHADEMA imejaa walevi wa pombe na wanaopenda sana ulevi na unywaji wa pombe kupita kiasi.inaonyesha wao na Pombe ni damu damu.nazani pia mnakumbuka mchungaji peter Msigwa aliwahi kumtuhumu naibu katibu mkuu
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wanapenda sana ulevi Ma CHADEMAIlikuwa sahihi kuvipiga marufuku viroba!
Hatari sana jeshi la polisi likiendelea kuwafichua wahalifu wenye tabia kutafuta huruma ya wananchi itakuwa safi sana!Wanapenda sana ulevi Ma CHADEMA
CHADEMA na Pombe ni kama pete na kidole.Hatari sana jeshi la polisi likiendelea kuwafichua wahalifu wenye tabia kutafuta huruma ya wananchi itakuwa safi sana!
Hawajitambui kabisa hawa watu.analewa mipombe yake huko halafu analeta uzushi wake mitandaoni.Hawa watu wa chadema inavyoonekana ni mabingwa wa kubadilisha stori anaweza kukuchokoza kwa kukupiga kofi la skio we ukimpiga ngumi ya mdomo anaenda kumpost ulitaka kumteka
Viongozi wengi waandamizi chadema ngazi mbalimbali wakistaafu watakumbukwa zaidi kwa ulevi,Ndugu zangu Watanzania,
Inaonyesha CHADEMA imejaa walevi wa pombe na wanaopenda sana ulevi na unywaji wa pombe kupita kiasi.inaonyesha wao na Pombe ni damu damu.nazani pia mnakumbuka mchungaji peter Msigwa aliwahi kumtuhumu naibu katibu mkuu Benson Kigaila kuwa alinyweshwa sana Pombe siku moja Kabla ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa na kambi ya mpinzani wake.
Pia mnakumbuka kiongozi wao pia mkubwa Alilewa sana pombe akiwa Dodoma mpaka kudondoka na kuumia Mguu wake na kusingizia alivamiwa. Watanzania tusiruhusu hawa watu wakapewa madaraka maana watauza Nchi kwa kupewa Pombe .watasaini Mikataba wakiwa wamelewa chakali mpaka Taifa lipate aibuView attachment 3112762View attachment 3112763
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.