Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

1727846278358.png
 
Huna akili unawaamini hao majambazi wanaova uniform
Ninyi ndio hamna akili na ulevi wenu wa Pombe mpaka mnasababisha ajali na kugonga magari ya watu.acheni ulevi.tena mshukuru viroba vilipigwa marufuku maana mpaka sasa mmekuwa mmeangamia wote kwa ulevi wenu wa kijinga
 
Viongozi wengi waandamizi chadema ngazi mbalimbali wakistaafu watakumbukwa zaidi kwa ulevi,

na nadhani tunu hiyo isiyo njema ndio hasa wanawarithisha vijana wao tunu hiyo isiyo njema kwa Taifa leo. Na ndiyo maana vijana wao ni legelege kweli..

Na kuna yule kijana wa kule mbeya yeye nadhani anapendelea zaidi ulevi wa kuvuta kuvuta🐒
Ndio maana midomo yao ni michafu sana iliyojaa matusi .maana inaonyesha muda wote akili zao zinakuwa zimevurugika kabisa kama huyu mlevi Vitusi Nkuna aliyegonga gari la watu kwa ulevi wake.halafu anasingizia kutaka kutekwa na watu wasiojulikana
 
Ninyi ndio hamna akili na ulevi wenu wa Pombe mpaka mnasababisha ajali na kugonga magari ya watu.acheni ulevi.tena mshukuru viroba vilipigwa marufuku maana mpaka sasa mmekuwa mmeangamia wote kwa ulevi wenu wa kijinga
Bwege wewe unatoa povu mishipa inakusimama ili wakuone upate uteuzi lakini wanakukaushia wala hustuki kwa vile huna akili bwege wewe.
 
Bwege wewe unatoa povu mishipa inakusimama ili wakuone upate uteuzi lakini wanakukaushia wala hustuki kwa vile huna akili bwege wewe.
Acheni ulevi walevi wakubwa Ninyi msio na haya wala aibu. Mnalewa mpaka akili zinawatoka kichwani.mtakufa kwa ulevi mwaka huu.ndio maana hata wewe kichwa chako cha hovyo sana na unayeshinda unatukana Mimatusi hovyo hovyo kama kichaa au mwendawazimu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Inaonyesha CHADEMA imejaa walevi wa pombe na wanaopenda sana ulevi na unywaji wa pombe kupita kiasi.inaonyesha wao na Pombe ni damu damu.nazani pia mnakumbuka mchungaji peter Msigwa aliwahi kumtuhumu naibu katibu mkuu Benson Kigaila kuwa alinyweshwa sana Pombe siku moja Kabla ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa na kambi ya mpinzani wake.

Pia mnakumbuka kiongozi wao pia mkubwa Alilewa sana pombe akiwa Dodoma mpaka kudondoka na kuumia Mguu wake na kusingizia alivamiwa. Watanzania tusiruhusu hawa watu wakapewa madaraka maana watauza Nchi kwa kupewa Pombe .watasaini na kusainishwa Mikataba Mikubwa wakiwa wamelewa chakali mpaka Taifa lipate aibuView attachment 3112762View attachment 3112763

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mjasiliamari
 
Huyu Nkuna ana matatizo japo simjui sana kwasababu hata uchaguz aliiba lkn kamat kuu ikatengua ushindi wake. Taswira ya Chama inaharibia na washenz kama Nkuna alafu hii public sympathy ya watu wa CDM itawafanya wafiche maovu yao mengi.
 
Polisi wajinga sana.akikosea mtu wa chadema ndiyo wanajifanya kufanya kazi lakini akikosea wa ccm kama ilivyo chura kuwateka wtz wanajifanya kukaa kimya
 
Polisi wajinga sana.akikosea mtu wa chadema ndiyo wanajifanya kufanya kazi lakini akikosea wa ccm kama ilivyo chura kuwateka wtz wanajifanya kukaa kimya
Acheni ulevi wenu wa kijinga jinga hapa.Mtakufa kabla ya wakati wenu. Inakuwaje mnakunywa pombe mpaka akili zinawatoka? Shukuruni sana kupigwa marufuku viroba maana mngekuwa mmeisha na kuteketea wote kwa ulevi.
 
Mbowe alianguka kwenye ngazi akiwa ameyatutika akasingizia kuwa wasiojulikana walikuwa wanataka kumfanyizia. Bahati nzuri waliokuwepo wakatibua dili la kuudanganya umma kwa kusema ukweli kwamba jamaa nyagi lilizidi.
Na mpaka leo tunasubiri ushahidi tulioambiwa kuwa upo wa kuwa alikuwa amelewa.

Amandla...
 
Huyu Nkuna ana matatizo japo simjui sana kwasababu hata uchaguz aliiba lkn kamat kuu ikatengua ushindi wake. Taswira ya Chama inaharibia na washenz kama Nkuna alafu hii public sympathy ya watu wa CDM itawafanya wafiche maovu yao mengi.
Huyu jamaa janja janja sana.analewa na kugonga magari ya watu na kuanza kusema alitaka kutekwa.kwenye uchaguzi wenyewe alileta janja janja zake za kilevi.
 
Unafikiri huyo jamaa akiamka atamwambia nini Mkewe ama Mwajiri wake?

Ametekwa?
Amekutana na watu wasiojulikana?

Hivi Walevi huwa wanawajua watu wote vilabuni?
CHADEMA wajitathimini sana juu ya mwenendo wao kitabia.maana wanatabia na maadili mabaya sana.
 
CHADEMA wajitathimini sana juu ya mwenendo wao kitabia.maana wanatabia na maadili mabaya sana.
Mbali na mienendo na maadili.

Huyu mtu kalewa kagonga gari, anatakanl kusema anajua kila mtu anayeendesha gari?

Ati watu wasiojulikana walimtwanga.

Anajua Road rage?

Yaani unigongee gari langu na ulevi wako halaf? na akaenda polisi baada ya hapo.

Hawa kila kitu wanataka kusema ni kwa sababu za siasa. Ati ni kada wa CHADEMA, so what? Mlevi ni Mlevi tu, haijalishi ametokea chama gani.

Anyways, najua kuna kampeni(ona nyuzi hapa JF) kabambe zinazowaandama polisi.

Wakome huo upumbavu..
 
Back
Top Bottom