Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

Una ushahidi alipimwa na nani na hicho kipimo kimethibitishwa na nani? ubora na usalama wake ukoje? kina hifadhiwa na nani? kibali cha kupima kilitolewa na mahakama ipi?
Haujaona taarifa ya polisi? Yaan usababishe ajali ety tusubiri ukapimwe mahakamani si pombe itakua imekuisha yaan wanapimwa madereva kila sku alafu ww unasema msubir mahakamani, sheria ya wapi hio? Hizo hoja zako zote zinajibiwa kwa kuleta ushahid wa kipimo na ni kwel jamaa alilewa na ni mhuni huyo Nkuna.

NB, Hatuwez kutengeneza nchi kwa mtu wa itikad fulani kua hakosei au akiguswa ni polisi tu kweny nyeupe tuseme na nyeus tuseme. Usiwe mpumbavu na kujifunga na Uchadema. Kua mtu huru kiongoz itakusaidia.

WAHUNI NI WENGI SANA NDAN YA CDM KAMA CCM TU TENA CDM WAMEZIDI.
 
Akila mvua wewe na mumeo mtapata hasara gani?
Sisi tumeshawzoea- Mbowe alianguka kwenye gazi kwa ulevi na uzinzi akasema ameshambuliwa na watu wasiojulikana; Huyu naye yale yale- CHADEMA NI CHMA CHA WAZUSHI KAMA HAMAS
 
CHADEMA = NA HAMAS
 
Sisi tumeshawzoea- Mbowe alianguka kwenye gazi kwa ulevi na uzinzi akasema ameshambuliwa na watu wasiojulikana; Huyu naye yale yale- CHADEMA NI CHMA CHA WAZUSHI KAMA HAMAS
Nadhani baada ya kujifungua akili ako itakaa sawa kwa sasa acha nikusamehe
 
Kuna uzi mmoja humu ndani niliwahi kuweka comment 😔 naomba kurudia tena.
Hawa maafisa wa polisi tunaishi nao ndani ya jamii, endapo mtu akifanyiwa unyama wa kijinga wa namna hii basi tunakariri askari mmoja haswa wale wanaojikuta wanajua kuvunja sheria kisha tunawafanya waishi maisha magumu sana! Mke wake na watoto wake ni mwendo wa chuki kiasi kwamba mtoto wake aone kazi ya baba yake ni laana kwa familia.
Kama ni daktari basi unahakikisha mtoto wake anaona kama hii ni vengeance. Kwa sababu tunaishi nao kistaraabu wakati wakiwa kazini wanatufanyia ujinga.
 
Back
Top Bottom