Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Tatizo lipo kwa hawa wabarikiwa badala ya kutumia akili kumalizana na hamas na vikund vingine wao wanatumia miguvu tuIngekua vzr Kama watu wote tungeungana kukemea vita hii ikome inamaliza uhai wa watu watoto,Akina mama,wazee,vijana kuliko kuwasifia hao kikundi Cha wanamgambo ,alafu hao ndo wajinga kila siku wanawaletea shida ndugu zao wanaichikoza Israel alafu wanajificha nyuma ya raia
Kwa uchum wao hawana ubavu wa kugharamia vita mbili kwa wakat mmoja alafu hawa jamaa wameshazoea kupiga na kukimbia lkn ukiwakazia kuwa hakuna kukimbia hawamaliz wiki bwana wao anaingilia kati.Whether Hezbollah or not, Israel is unable to respond.[emoji196][emoji573][emoji573]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ukimya wa bwana wao sio mzuri...unamshindo mkubwaaKwa uchum wao hawana ubavu wa kugharamia vita mbili kwa wakat mmoja alafu hawa jamaa wameshazoea kupiga na kukimbia lkn ukiwakazia kuwa hakuna kukimbia hawamaliz wiki bwana wao anaingilia kati.
Huo mshindo unaweza kuwa na faida na hasara piaHuu ukimya wa bwana wao sio mzuri...unamshindo mkubwaa
IDF bado haijaingia kazini, saizi wanatumia reseve na police unit kutuliza ghasia na Iron Dome operation unit kurespond kwa HamasIsrael imewaita wanajesh wa akiba elf Tisa kuongeza nguvu Hamas bado inasumbua
Mfumo unajaribiwa na roketi za kutengeneza kienyeji kwanini usiwe effective.........ubora wake ungethibitika kama ingejaribiwa kwa makombora ya maana.....hapo wanachofanya ni kutiana hasara tuIron domes zinafanya vizuri sana, asilimia 85-95 za maroketi zinapanguliwa. Pengine huu mfumo ndio best wa air defense. Hamas wanarusha maroketi kila mahali lakini Israel inalenga watu na maeneo maalum.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Update ya muda huu Al Jazeera Mpka sasa wapalestina 86 wameshakufa huku Israel ikiendelea na mashambulizi makali na imetishia itaenda mbali kwa wale wote wanaochezea uhuru wao wa kujirindaSasa wamezidiwa vipi? Waisrael waliouwawa mpaka sasa ni wawili tu kwa mujibu wa taarifa yako. Wapalestine mpaka sasa wameshauwawa watu 28.
Sasa wepi wamezidiwa? Wapalestine au Waisraeli??
Maelezo yako yanakinzana na aljazeera engIDF bado haijaingia kazini, saizi wanatumia reseve na police unit kutuliza ghasia na Iron Dome operation unit kurespond kwa Hamas
Licha ya yote haya yanayotokea lkn netanyau ana hali tete kisiasaNetanyahu on the beat... [emoji445]
Mi si mwanasiasa, na wala sipendi siasi. Netanyahu atajipanga na siasi zake, hazini affect 😂Licha ya yote haya yanayotokea lkn netanyau ana hali tete kisiasa
Unasemaje iron domes best air defence kwa vikombora vya Hamas wanavyotengeza uwani hata speed havina?Iron domes zinafanya vizuri sana, asilimia 85-95 za maroketi zinapanguliwa. Pengine huu mfumo ndio best wa air defense. Hamas wanarusha maroketi kila mahali lakini Israel inalenga watu na maeneo maalum.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Watume na vya speed kali pia, ka wanavyo!😂Unasemaje iron domes best air defence kwa vikombora vya Hamas wanavyotengeza uwani hata speed havina?
Naangalia aljazeera naona vifo vya Gaza vinaongezeka lkn Israel namb ni ileile yanaongezeka idad ya maroket tuQassam brigades says it has targeted an Israeli chemical factory with Shehab drone
#GazaUnderAttack https://t.co/itindHQ4RP