Kuna watanzania wanapenda drama za kipuuzi kabisa. Kuna umuhimu gani kupigiana simu na mgonjwa ambaye yupo quarantine. Yaani what is the point? Tuache ulimbukeni!
Inaonekana huyu ni celebrity sasa, na akipona yule waziri Kigwangala atakuwa anasafiri naye kwenda mbuga za wanyama kukuza utalii kama anavyofanyaga na third-rate actors, Steve Nyerere Et al.