Kwanini ulimuita kiongozi wao pembeni ili umpangilie? Ulikua na mihadarati kwenye hilo gari?nakumbuka mwaka 2021 niliendaga kulima mpunga sehemu za hifazi bonde la kilombero asa wakati wa kuvuna nikaita gari lite kupakia gunia usiku kumbe wamelisanukia mara paaa hao tukashindwa kukimbia basi wakatuweka kati hawataki maelewano ni stiki wanataka wapeleke gari kituoni kiongozi wao nikamuita pembeni nikampangilia nikafika bei tukaanza kucheka nao hadi wakawa wanasaidia kupakiza gunia wanasema pakieni haraka mtoe hii gari eneo la hifadhi
Wapiga ramli hamuishi nchi hii.Wamejitia wanamsimamo kwa wachache ili kuwaaminisha kuwa wapo vizuri lakni nyuma ya pazia wanajijua wao
pesa kitu kingne mkuu
ili tuelewane vizuri ukiwa pale hauta ongea kwa uhuru na wakiwa wengiKwanini ulimuita kiongozi wao pembeni ili umpangilie? Ulikua na mihadarati kwenye hilo gari?
kwa hyo ungekuwa wewe ungekubali mali yako ipelekwe kituoniWapiga ramli hamuishi nchi hii.
Gunia la bhange + pembeni kiongozi rushwanakumbuka mwaka 2021 niliendaga kulima mpunga sehemu za hifazi bonde la kilombero asa wakati wa kuvuna nikaita gari lite kupakia gunia usiku kumbe wamelisanukia mara paaa hao tukashindwa kukimbia basi wakatuweka kati hawataki maelewano ni stiki wanataka wapeleke gari kituoni kiongozi wao nikamuita pembeni nikampangilia nikafika bei tukaanza kucheka nao hadi wakawa wanasaidia kupakiza gunia wanasema pakieni haraka mtoe hii gari eneo la hifadhi
Ukaona Bora uwadakishe tu mambo yasiwe mengikwa hyo ungekuwa wewe ungekubali mali yako ipelekwe kituoni
Kila mtu anabei yake ukiona hawajachukua ujue ujafika bei.Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap na hawachukui hata 100 yako mbovu.
yaaapUkaona Bora uwadakishe tu mambo yasiwe mengi
ni mpunga siyo bhange mkuuGunia la bhange + pembeni kiongozi rushwa
Bei ya Tundu lissu ni ngapi?Kila mtu anabei yake ukiona hawajachukua ujue ujafika bei.
Almasi jamaa maarufu kwenye biashara hizo alikamatwa DCEA na akachomokaIshu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap na hawachukui hata 100 yako mbovu.
Huyu amenyooka kama rulerUkiona sehemu inaongozwa na Mchaga mkishindwana basi ulichokosa ni pesa tu (utani 😂)
Kipindi najitafuta miaka ya katikati nilikuwa mmoja wa wapangaji wake kwenye mjengo pembeni ya mji tulikuwa tumetenganishwa na ukuta mmoja. Ningependa kufahamu analipiaje unyoofu wake nipate story kamili.Au mlokole Nzowa, alikuwa amenyooka balaa ila mpaka kesho analipia "unyoofu" wake.
Sisi tulikuwa tunaita kazi ya kubeba mabox maana unasafirisha watu hawajui lugha yoyote zaidi ya kisomali Amhara au kioromoIna pesa sana aisee
Kuna madogo watatu walipigwa miaka 30 kila mmoja mtwara mjini...hao walikuwa bodaboda aisee wakajisahau kwenye matumizi mmoja akajenga nyumba mbili za maana na maisha ya kishua kila mtu anashangaa boda hiihii iwape maisha hivi....siku ya siku wawili wakadakwa wakapekekwa lindi wakahukumiwa miaka 30 kila mmoja mwingine akakimbia ila akadakwa yeye akapigwa miaka 30...sasa ndugu wa hao wawili wakaanza kupaniki mara wauze mashamba wakati kesi inaendelea mara wauze majumba ila mtu mmoja wa kazi uchafu mjini akawatuliza ndugu kuwa iache kesi iendelee na watafungwa hao,,, na sisi tutaibukia kwenye rufaa na kweli ikawa vile wamekaa miezi michache rufaa ikakatwa na washkaji wakashinda....haya mambo yananoga uwe na mtu mwenye nguvu nyuma kinyume na hapo ni hatari kwasababu hao washkaji walihusishwa na wale waleta vurugu Mozambique kazi yao ilikuwa kuwapokea na kuwavusha mpakaniSisi tulikuwa tunaita kazi ya kubeba mabox maana unasafirisha watu hawajui lugha yoyote zaidi ya kisomali Amhara au kioromo
Watu hamna uoga aisee.!Mimi kazi yangu ilikuwa ni kuwapokea na kuwahifadhi muda huo tunaandaa mazingira ya kuwavusha boda na ukiona hii movie imeungua ujue kuna mtu karukwa kwenye mgao