Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

Tuishie kusema hivi katika dunia hii ya utandawazi usijaribu kudanganya utaumbuka vibaya sana
Embu ona sasa thread yko inavokuaibisha kwa chuki zako za kijinga
 
Kwani wewe hujui hawa Waisrael waliopandikizwa na Ulaya na Amerika katika mashariki ya kati asili yao ni Turkey? Wameenda kusaidia ndugu zao. Waturuki sio Waarabu kama watu wengi wafikiriavyo angalia hata muonekano wao 😂
 
Umemuumbua kweli kweli, jana niliangalia taarifa kupitia Star TV na BBC dira ya dunia; walionyesha misaada ya Iraq na nchi fulani nimeisahau...

Ila hii mioyo hii na nafsi hizi..........ACHA TU!
 
Mbweha we! Unaandika andika bila ushahidi bwege we! Hawa ni nani? Bibi zako?
View attachment 2511849
Mbona majini yamekupanda unaandika umetokwa na mapovu? Usiwe unapaniki kwa vitu vidogo binadamu hatukuumbwa hivyo. Usiache mapepo yakupande uwe unatokwa tu povu kila wakati....😂😂🤣🤣🤣
 
Source? Kijiwe cha bao?
 
IRAN na TURKEY sio waarabu

Jengine taifa la ISRAEL linatakiwa lifutwe kabisa kwenye uso wa DUNIA kwamaendeleo na maslahi mapana ya DUNIA

Uwepo wa ISRAEL ni hatari kwa DUNIA kama KANSA kwenye mwili wa mwanaadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kuna parts za iran na turkey kuna waarabu wengi hasa turkey Syria na Iran Iraq pia Eastern Saudi Arabia na Iran pia Bahrain.
 
Mwafrika ni mtu wa ajabu sana. Sasa hapo ukiulizwa sababu kuu ya kukufanya uwachukie Israelites ni nini, utakuta huna sababu za msingi zaidi ya mafundisho ya kijinga ya hizi dini zenu za kijinga kijinga za kukaririshwa na waarabu au wazungu.

Hopeless Africans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…