Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Tuishie kusema hivi katika dunia hii ya utandawazi usijaribu kudanganya utaumbuka vibaya sanaNimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
View attachment 2511836View attachment 2511837
Embu ona sasa thread yko inavokuaibisha kwa chuki zako za kijinga