Israel (IDF) ni Nchi (jeshi) ambao wako Very Overhyped. Hawana Uwezo Wowote

Uchambuzi makini kutoka kwa mmatumbi wa machamba wima Bomu Bomu kijiwe samli apo Usha kula harua na sharubati unajamba moshi ulio changanyika na kuberi na kanzu Yako ndani hata boksa hujavaa
Taqbiiiiiiiiir shekhe
 
Kaufyata bwana wenu Iran kimyaaaa
nyie makafiri wa Makambako mnadhani huu ni mgogoro wa kidini, huu si mgogoro wa kidini, huko Palestina kuna makanisa ya tokea enzi ya Yesu na yanaheshimiwa , pia kuna wapalestina wakristo wanaabudu kwa uhuru kabisa na hawabughudhiwi na Hamas , lakini mtu uko simanjiro huko unashabikia wayahudi mtaolewa nyie mayahudi washenzi sana
 
Wewe unachomeka dini alafu unajitoa na maujinga yako. Kwa hiyo sababu Kuna wakristi ulitaka waisraeli wavamiwe vile wakae kimya siyo?.
 
Nimeshangaa sana kweli walio uliwa wengi ni raia, Hamas bado wapo wa kutosha
 
Kiongozi wa hamasi leo ni nani vile baba-mwajuma
 
Kiongozi wa hamasi leo ni nani vile baba-mwajuma
Umetoa hoja za uongo umejibiwa unaanza kugeuza maneno, kuwa muungwana kiri ujinga wako kwanza.

Na Wanachopigania Hamas sio will of their leader bali wana will of their people, Hamas hawapiganii matakwa ya mtu kiasi kwamba akifa basi wanaathirika, bali ni matakwa ya Wapalestina, Hamas itapotea pale tu Watakapokufa Wapalestina wote.
 
Kawaulize Iran kuhusu Promise III iliishia wapi?
 
Hawa hawataki kukubaliana na ukweli kuwa hao IDF wako overrated tu ila field ni wepesi kabisa.
 
Uchambuzi makini kutoka kwa mmatumbi wa machamba wima Bomu Bomu kijiwe samli apo Usha kula harua na sharubati unajamba moshi ulio changanyika na kuberi na kanzu Yako ndani hata boksa hujavaa
Taqbiiiiiiiiir shekhe
Kama huna hoja na facts lala huko sio lazima ulete boga lako hapa kuandika ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…