Israel (IDF) ni Nchi (jeshi) ambao wako Very Overhyped. Hawana Uwezo Wowote

ISRAEL INA KUNDI LA WANAMGAMBO NA SIO JESHI KILA SIKU HUA NASEMA HAPA
 
Hapa tanzania ndo wanalitukuza hilo taifa lakin hawana lolote
Hebu tuambie basi lengo la IDF kushambulia Gaza ilikuwa ni nini kama sio kuokoa mateka na kuimaliza Hamas.

Mimi sijasema nataka kiendelee au kisiendelee hapa nasema kuwa Israel ameudhihirishia ulimwengu kuwa ni mwepesi sana
usisahu msaada wa hali na maliz wa uingereza na ujeruman na uingereza
 
Hebu nipe quote yoyote ya kiongozi wa Israel alisema lengo ni kupunguza kizazi cha Palestine.
Viongozi wa Israel wameamdikiwa arrest warrants na ICC kutokana na matendo yao, na si kutokana na quotes zao. Nadhani umeelewa
 
😂 😂 😂 Ila kobaz akili zao ziko wapi jamani!?

Gaza ilivyo vile alafu mtu anashangilia hamas kashinda
 
We are Netflix Mozzad.
Hamas tutawafuta tuu.
 
Hapa tanzania ndo wanalitukuza hilo taifa lakin hawana lolote

usisahu msaada wa hali na maliz wa uingereza na ujeruman na uingereza
Wajinga hao. Kwa mbwembwe na sifa wanazopewa hao jamaa ilitakiaa operation ya Gaza iishe chini ya miezi mitatu.
 
😂 😂 😂 Ila kobaz akili zao ziko wapi jamani!?

Gaza ilivyo vile alafu mtu anashangilia hamas kashinda
Hakuna alieshangilia. Tunajiuliza tu kama lengo ilikuwa kuwamaliza Hamas na kuokoa mateka imekuaje jeshi bora duniani la taifa teule lishindwe kutekeleza malengo yake bali likaishia kuharibu miundombinu na kuaa watoto na akina mama?
 
Hamas alikuwa anapigana na Israel? Au walikuwa shimoni Kama panya buku?
 
Hapa ongea facts. Gharama alizotumia Israel, muda aliotumia, msaada aliotumia na outocome ya mauaji ya Gaza vinaendana?

Je lengo la IDF kushambulia Gaza ilikuwa kwenda kuua watoto na wamama? Maana ndicho pekee walichoweza.
Sijaelewa mkuu, wale viongozi wa Hamas na Hezbollah walikuwa akina mama?
 

View: https://x.com/ApostateProphet/status/1881111275771732470
 
Hahaha 🤣 Daah Ulimwengu huu bhana kwa hiyo HAMAS na MANDONGA lao moja.

Wakitandikwa wao ni wananchi wasio na hatia kina mama na watoto, wakiachwa parade barabarani na mask na tena haitoshi na miwani meusi juu wasitambulike sura.
 
Itikadi kali mna vituko sanaa🤣🤣

Mna akili za mavi mavi kama ilivyo imani yenu

Ebu kawachukue basi wanywa gahawa wenzake hata 100 mwende mkawapige hao IDF ambao ni overrrarted

🤣🤣Pussy ass nigga
Kwani IDF UNAJUA WAMEZIKWA WANGAPI ADI SASA!!! kilichofanya wateme bungo nn kwa akili yko iyoiyo ya kununua udongo!!!
 
Wenzio wameachwa wapumue shukuru Trump. Iran inawafadhili HAMAS na HEZBOLLAH na HOUTHI. Ika wote wamepigwa sana yani, mpaka wamechakaa, mateka sio issue. Watanzania wawili wameuwawa na hao matahira, na wamepigwa bila ubaguzi. Na watapigwa Tena. Amini.
 
Vita ni mbinu yote ni mikakati ya kijesh ukiwa ndani ya Israel atauvae chochote ukiwachokoza ujue wanakukamata au kukupiga shaba eneo lao wanajua namna ya kulidhibiti sasa ukivamia eneo la mwengine apo ndio kwenye shida iyo GAZA hiii sio mala ya kwanza waisrael kupakimbia apo GAZA Ariel SHARON katili kuliko Netanyahu nae alitema Bungo apa apo IDF wamekufa wengi ktk uwo mji IDF kwasasa awasogei tena kwenye uwo mji labda watumie ndege tu lkn ardhin itapita miaka 20 wanapaogopa apo. Jehanamu kwa IDF kupigana na vijana awaogopi kufa iyo vita lazime iwe ngumu upande wa pili,
 
Kwani wakati Netanyahu anatangaza vita jomba ulikuwa wapi mbona aliutangazia ulimwengu mzima azimio la vita ni kuwakomboa mateka na kuifuta Hamas alisema ivi hamas njia pekee ya kubaki hai nikujisalimisha kwa IDF au ufe akuna option ya3. Vijana wa HAMAS wakachagua vita ambavo vimepelekea WANAJESH w IDF kufa wengi sana na kuweka history ya vita zote alizowai kupiga Israel hii sasa ndio wameuwawa wengi sana, IDF ilifsnya zaid kuuwa raia watoto wamama kitu kimepelekea kuchafuka uso wa Israel duniani kias cha kutakiwa na ICC lkn nakukumbusha pia kuuwa raia wengi sio ushindi vitani Israel ikitaka kuuwa watu inaweza wkt wowote mn GAZA awana air defence system yoyote na vile wanatumia ndege za marekani icho sio ishu kwa jesh la Israel lipo ndani ya uwezo wao wkt wowote masaa24 lkn JE kuuwa raia wengi ndio ushindi!!!! Vietnam walikufa milion3 na baso marekani alishidwa vita!!
 
hao 46,000 walouliwa mwakani wote wanarudi, hakuna shoga Palestina kama wewe , mashoga wako ISRAEL, Palestine kuna wanaume wa shoka kwa hio sasa hivi wanaenda kuzaliana mara kumi ya nlivokua kabla ya vita, halafu Kule chakula bure kabisa
Kabisa jamaaa sio wavivu kwenye kuzaliana ata sasa utaona mitaa inawatoto wengi sana ndio hiii kitu kinamuuma sana ISRAEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…