Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

Kwahiyo MOAB ni la kichumba tu
MOP ni tikiti maji tu sa Trump kaishiwa karata kuingiza boots hawezi na leo Israel ananza kujitongozesha kwa Iran wanasema Israel tutakubali kusimamisha vita kama Iran atawacha kutushambulia hahaha. Iran hasimamishi vita mpaa Israel apige magoti na akubali Iran ndio awe wa mwisho kupiga risasi.
 
Punguza ushabiki kijana
 
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran

View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K

Mnajambajamba tu, mara walihamisha mitambo, noweti kapiga juu juu. !!!
 
Mbona watangazaji wa kike kwenye hizo channels za kiarabu hawavai Hijabu?!
 
Kaulize Israel wao ndio wamesema hayo sio mimi, kuhamisha Nuclear materials walihamisha kwa ajili ya safety precautions walidhani MOP linaweza kufika zaidi ya 900 metre au 1 KM.
 
Mbona watangazaji wa kike kwenye hizo channels za kiarabu hawavai Hijabu?!
Kawaulize warabu kwani kila mwarabu ni Muislam mbona wako Wayahudi pia Waislam sa ajabu ipo wapi. Afu hata kama ni Waislam ni majina tu Uislam uko wazi Hijab ni kujistiri hizo nywele zake akamuonyeshe mme wake na hizo make up sio kutuonyesha sisi akampambie mme wake wakati yulo chumbani naye.
 
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran

View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K

Ukweli uko hapa 👇👇

Kawaulize warabu kwani kila mwarabu ni Muislam mbona wako Wayahudi pia Waislam sa ajabu ipo wapi. Afu hata kama ni Waislam ni majina tu Uislam uko wazi Hijab ni kujistiri hizo nywele zake akamuonyeshe mme wake na hizo make up sio kutuonyesha sisi akampambie mme wake wakati yulo chumbani naye.
Hayo mambo ya sijui hijab hata hapa wanawake wengi wanaodai ni waislam wamezikataa labda wanatambua kwamba ni za kiarabu.
 
Back
Top Bottom