Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
- Thread starter
- #81
Hapana sawa alicho sema Iran ili wajue wazi sio kila kitu utafanikiwa kwa njia ya nguvu.Unajua iran hatakiwi kuwashtua kama hajaumia alitakiwa kukaa kimya ili mazungumzo yafanyike bila madhara makubwa