Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
- Thread starter
- #61
Walihamisha Uranium kwa ajili ya safety precaution na hio Fawdar nuclear ipo deep kama 900 meter to 1 KM hayo maboom ya MOP maximum yanaenda 600 meter umefahamu au bado.Lakini si tulisema walihamisha sasa mbona chorus inaenda inabadilika badilika? Leo hii tena tunawaamini Mayahudi? Hawa hawa ambao siku zote tunasema tusiwaamini? Au tunachagua? Israel wanamchochea Usa apige tena na tena. Kile kipigo miilio mbona imesikika vya kutosha tu... Tunataka Iran iweje? Mimi ngekuwa Iran kama ni kweli nimeguswa guswa ngenyamaza ili niendelee kuzalisha wakiamini nimemalizwa. Lakini huu uongo tunaosambaza hauna faida.
Israel waongo sana lakini sionkila wajati muongo hakoseibajasema ukweli.