Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

Mimi ningekuwa Iran ningemaliza hii vita, ningeacha kelele na nuclear program ili waniondolee vikwazo ili nianze kujenga nchi yangu upya, ukweli kwa sasa sina nguvu ya kupigana na myahudi or America
Nguvu za kupigana na muyahudi anazo lakini sidhani kama anazo za kupigana na USA.
 
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran


View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K

Sijaona popote Israel kasema huo UHARO wako!!! Au wewe bado unajifariji kwa kutumia TAQIYYAH yenu pendwa??

Endelea tu kunyea dawa za kupunguza maumivu!!!! Lakini Fordow is Gone kazi imeisha!!!
 
1750659075398.jpeg
 
Israel are doing very well by attacking devil regime
 
Wewe ni mwongo. Ni Iran ndiyo iliyowaambia wajumbe wa EU kuwa iko tayari kurudi kwenye mazunghmzo na USA endapo USA itaweza kuiambia Israel isimamishe mashambulizi.
...
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-22-21-51-59-370.jpg
    Screenshot_2025-06-22-21-51-59-370.jpg
    317.6 KB · Views: 23
We lini ulikubali ukweli umeisha zoweya kuwasifia mabasha zako
Kila wakati nawaambia Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua wenyewe tu. Harafu mnanikasirikia sana na sijui kwa nini hebu msikilize Mfuga Majini mwenzenu akiwapa darasa!!
We lini ulikubali ukweli umeisha zoweya kuwasifia mabasha zako
Basi msikilize Mfuga Majini mwenzako
 

Attachments

  • 2263e896af637ff1e47e889c576e747d.mp4
    46.9 MB
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran


View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K




Lakini si tulisema walihamisha sasa mbona chorus inaenda inabadilika badilika? Leo hii tena tunawaamini Mayahudi? Hawa hawa ambao siku zote tunasema tusiwaamini? Au tunachagua? Israel wanamchochea Usa apige tena na tena. Kile kipigo miilio mbona imesikika vya kutosha tu... Tunataka Iran iweje? Mimi ngekuwa Iran kama ni kweli nimeguswa guswa ngenyamaza ili niendelee kuzalisha wakiamini nimemalizwa. Lakini huu uongo tunaosambaza hauna faida.
 
Ile Ngoma inaenda 200 ft about 65m chini, ina ton 30,000, Hakuna namna Kuna kitu ina survive
Mitbo ya Fordow ipo mita 800 chini ya Ardhi according to wakaguzi ile taasisi ya ukaguzi wa nyuklia IEA
 
Kwani wamelazimishwa kwenda peponi sinkila mtu ana njia zake akubali au akatae uwamuzi ni wake.
Huwezi kuingia peponi kisa ulikuwa unavaa vazi fulani, hizo ni hadithi za sungura na fisi.
 
Back
Top Bottom