Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

Hizi taarifa zinatokea masjid ubwabwa hivyo ni za kupuuza tu.

Iran inafahamu fika madhara ya kujifanya kulipiza kisasi hivyo wanaanzisha hizo propaganda ili kutetea kutolipiza kisasi kwao lakini madhara kwenye vinu vya nuklia ni makubwa kupindukia.

Bomu la MOP sio la ki spoti spoti kupiga sehemu na eti lisiache madhara, ni uongo wa wazi kabisa.
 
Hayo mambo ya sijui hijab hata hapa wanawake wengi wanaodai ni waislam wamezikataa labda wanatambua kwamba ni za kiarabu.
Kwani wamelazimishwa kwenda peponi sinkila mtu ana njia zake akubali au akatae uwamuzi ni wake.
 
MOP ni tikiti maji tu sa Trump kaishiwa karata kuingiza boots hawezi na leo Israel ananza kujitongozesha kwa Iran wanasema Israel tutakubali kusimamisha vita kama Iran atawacha kutushambulia hahaha. Iran hasimamishi vita mpaa Israel apige magoti na akubali Iran ndio awe wa mwisho kupiga risasi.


Wewe ni mwongo. Ni Iran ndiyo iliyowaambia wajumbe wa EU kuwa iko tayari kurudi kwenye mazunghmzo na USA endapo USA itaweza kuiambia Israel isimamishe mashambulizi.
 
Sasa kama wameshambulia vinu vyote sasa Israel anasema atashambulia tena atashambilia vinu gani wakati Marekani kaishamaliza😂
 
Donald Trump, a weak and dangerously reckless president, has put the United States on a path to a war in the Middle East that the country does not want, the law does not allow, and our security does not demand.
Our president knows nothing about history. And history tells us that the United States' hubris about the efficacy of military action in the Middle East is almost universally wrong. Trump has been goaded into these strikes by the perpetual cheerleaders of war in the Middle East - the people who know how to start conflicts there but never know how to end them, and the people who profit - politically and financially - from endless war.
I've been briefed on the intelligence - there is no evidence Iran posed an imminent threat to the United States. That makes this attack illegal. Only Congress can declare preemptive war, and we should vote as soon as possible on legislation to explicitly deny President Trump the authorization to drag us into a conflict in Middle East that could get countless Americans killed and waste trillions of dollars.
All my thoughts tonight are for the safety of our personnel

Maseneta huko US😂
 
Wewe ni mwongo. Ni Iran ndiyo iliyowaambia wajumbe wa EU kuwa iko tayari kurudi kwenye mazunghmzo na USA endapo USA itaweza kuiambia Israel isimamishe mashambulizi.
Tatizo wewe unasikiliza western propoganda Europe walitaka Iran arudi kwenye meza akawambia siwezi kurudi kwenye meza mpaa vita visimame aliye anzisha asimamishe kwanza na hapo si kama Iran anaomba Israel isimamishe vita ni ujinga wako ndio unadhani vile Iran wako wazi tokea mwanzo hawasimamishi vita mpaa wao wawe wa mwisho kupiga risasi ya mwisho sio Israel. Mimi sina uwongo sio tabia yangu wewe nipe wapi Iran kaomba vita isimame yeye ndio atainua mikono kwanza nipe au we kubali wewe ndio muongo.
 
IRAN'S REVOLUTIONARY GUARD: IRAN'S PEACEFUL NUCLEAR TECHNOLOGY CANNOT BE DESTROYED BY ANY ATTACK
Wakanisa humu wamechanganyikiwa kweli kweli wengine leo wataishia bar afu akitoka huko anapepesuka njia nzima
 
Jerri itawaisha tu wairani na mashabiki wao wa ugaidi.. Tantalila nyingiii alafu hamna kitu... Mmelipuliwa mno na israel kutoka uwezo wa kurusha ballistic missile 300 had 40 kipigo cha Sunday nadhani watarusha 10 tu au 5. Drone wakaziuze russia tu Hasina impact Kea israel yaani wamerusha 1000 9999 no impact moja tu ndio imepasua ukuta
 
Jamaa wameshindwa ile ngome ,muajemi alijipanga kwa kweli ..Ile ndege walifanya maonesho tu hamna cha maana labda warudi tena ...
 
Jerri itawaisha tu wairani na mashabiki wao wa ugaidi.. Tantalila nyingiii alafu hamna kitu... Mmelipuliwa mno na israel kutoka uwezo wa kurusha ballistic missile 300 had 40 kipigo cha Sunday nadhani watarusha 10 tu au 5. Drone wakaziuze russia tu Hasina impact Kea israel yaani wamerusha 1000 9999 no impact moja tu ndio imepasua ukuta
Kenge.mmoja wewe eti drones hazina impact uko huko zinapo fika kwenye target au upo kupiga.debe kwenye mabus station.

Tazama nyumba ya boss wako Netanyahu naye kisha kosa nyumba


View: https://youtube.com/shorts/son8OQJWyZE?si=upLEXqoeqmUzAOrl
 
Ile Ngoma inaenda 200 ft about 65m chini, ina ton 30,000, Hakuna namna Kuna kitu ina survive
Hiyo bomb, mop, haiwezi kupenetrate zaidi ya 60m, haina tani 30k bali ina 13.6k.
Kuhusu nuclear site ya fordow hii imejengwa 90m chini ya mlima na dari la centrifuge lina special zege la unene wa 25m, na juu ya hilo zege kuna fortress ya mwamba 65m.
 
Mimi ningekuwa Iran ningemaliza hii vita, ningeacha kelele na nuclear program ili waniondolee vikwazo ili nianze kujenga nchi yangu upya, ukweli kwa sasa sina nguvu ya kupigana na myahudi or America
 
Kwa wale wataalamu wa mambo ya Radiation ndiyo wanaoelewa!
Kama zile site zenye vinu vya nuklea zingeharibiwa,kungekuwa na uvujaji mkubwa wa mionzi ambayo ingeleta madhara makubwa!
Kwa hiyo yale mashambulizi hayakuleta uharibifu mkubwa kama ilivyolipotiwa na kutangazwa kwa mbwembwe na Trump.
 
Uislam upo very clear Hijab ni lazima nywele za.mabint waislam wakisha baleghe wasiwachie wengine wazione, wanao ruhusiwa kuona ni kaka zake na mme wake au wale wasio ruhusiwa kumuoa.
Kufunika kichwa ndio lazima, nasio hijabu.
 
Back
Top Bottom