Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
MOP ni tikiti maji tu sa Trump kaishiwa karata kuingiza boots hawezi na leo Israel ananza kujitongozesha kwa Iran wanasema Israel tutakubali kusimamisha vita kama Iran atawacha kutushambulia hahaha. Iran hasimamishi vita mpaa Israel apige magoti na akubali Iran ndio awe wa mwisho kupiga risasi.Kwahiyo MOAB ni la kichumba tu
Punguza ushabiki kijanaMOP ni tikiti maji tu sa Trump kaishiwa karata kuingiza boots hawezi na leo Israel ananza kujitongozesha kwa Iran wanasema Israel tutakubali kusimamisha vita kama Iran atawacha kutushambulia hahaha. Iran hasimamishi vita mpaa Israel apige magoti na akubali Iran ndio awe wa mwisho kupiga risasi.
Mimi na umri sawa sawa na Baba yako afu mimi naleta ukweli unao semwa na vyombo vya habari siji kuza kanga hapaPunguza ushabiki kijana
Mnajambajamba tu, mara walihamisha mitambo, noweti kapiga juu juu. !!!Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran
View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K
Mbona watangazaji wa kike kwenye hizo channels za kiarabu hawavai Hijabu?!Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran
View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K
Kaulize Israel wao ndio wamesema hayo sio mimi, kuhamisha Nuclear materials walihamisha kwa ajili ya safety precautions walidhani MOP linaweza kufika zaidi ya 900 metre au 1 KM.Mnajambajamba tu, mara walihamisha mitambo, noweti kapiga juu juu. !!!
Kwani Kuna mahala kuvaa hijab ni lazima?.Mbona watangazaji wa kike kwenye hizo channels za kiarabu hawavai Hijabu?!
Kawaulize warabu kwani kila mwarabu ni Muislam mbona wako Wayahudi pia Waislam sa ajabu ipo wapi. Afu hata kama ni Waislam ni majina tu Uislam uko wazi Hijab ni kujistiri hizo nywele zake akamuonyeshe mme wake na hizo make up sio kutuonyesha sisi akampambie mme wake wakati yulo chumbani naye.Mbona watangazaji wa kike kwenye hizo channels za kiarabu hawavai Hijabu?!
Uislam upo very clear Hijab ni lazima nywele za.mabint waislam wakisha baleghe wasiwachie wengine wazione, wanao ruhusiwa kuona ni kaka zake na mme wake au wale wasio ruhusiwa kumuoa.Kwani Kuna mahala kuvaa hijab ni lazima?.
Ukweli uko hapa 👇👇Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran
View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K
Hayo mambo ya sijui hijab hata hapa wanawake wengi wanaodai ni waislam wamezikataa labda wanatambua kwamba ni za kiarabu.Kawaulize warabu kwani kila mwarabu ni Muislam mbona wako Wayahudi pia Waislam sa ajabu ipo wapi. Afu hata kama ni Waislam ni majina tu Uislam uko wazi Hijab ni kujistiri hizo nywele zake akamuonyeshe mme wake na hizo make up sio kutuonyesha sisi akampambie mme wake wakati yulo chumbani naye.
Mbona wanaongea ovyo hata sielewiUjumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran
View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K
Hio habari ya alfajiri leo we kenge, sio leo jioni nikikuita kenge ni kweli hapo makenge wenzako walidhani wamefanikiwaUkweli uko hapa 👇👇
Netanyahu thanks Trump for ‘historic’ US strikes on Iran’s nuclear sites | Israel-Iran conflict | Al Jazeera
[Netanyahu thanks Trump for ‘historic’ US strikes on Iran’s nuclear sites | Israel-Iran conflict | Al Jazeera] is good,have a look at it!uc.xyz
Usisumbue kichwa chako kusoma comments zangu sababu utapoteza time yako na utanipotezea time yangu.Mbona wanaongea ovyo hata sielewi
Alieelewa aniambie