Kwani wamelazimishwa kwenda peponi sinkila mtu ana njia zake akubali au akatae uwamuzi ni wake.Hayo mambo ya sijui hijab hata hapa wanawake wengi wanaodai ni waislam wamezikataa labda wanatambua kwamba ni za kiarabu.
MOP ni tikiti maji tu sa Trump kaishiwa karata kuingiza boots hawezi na leo Israel ananza kujitongozesha kwa Iran wanasema Israel tutakubali kusimamisha vita kama Iran atawacha kutushambulia hahaha. Iran hasimamishi vita mpaa Israel apige magoti na akubali Iran ndio awe wa mwisho kupiga risasi.
Tatizo wewe unasikiliza western propoganda Europe walitaka Iran arudi kwenye meza akawambia siwezi kurudi kwenye meza mpaa vita visimame aliye anzisha asimamishe kwanza na hapo si kama Iran anaomba Israel isimamishe vita ni ujinga wako ndio unadhani vile Iran wako wazi tokea mwanzo hawasimamishi vita mpaa wao wawe wa mwisho kupiga risasi ya mwisho sio Israel. Mimi sina uwongo sio tabia yangu wewe nipe wapi Iran kaomba vita isimame yeye ndio atainua mikono kwanza nipe au we kubali wewe ndio muongo.Wewe ni mwongo. Ni Iran ndiyo iliyowaambia wajumbe wa EU kuwa iko tayari kurudi kwenye mazunghmzo na USA endapo USA itaweza kuiambia Israel isimamishe mashambulizi.
Wakanisa humu wamechanganyikiwa kweli kweli wengine leo wataishia bar afu akitoka huko anapepesuka njia nzimaIRAN'S REVOLUTIONARY GUARD: IRAN'S PEACEFUL NUCLEAR TECHNOLOGY CANNOT BE DESTROYED BY ANY ATTACK
Asili yetu Arabuni ni MAJAMBIAUjumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran
View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K
Take a break my brother 😂 umewatetea sana waajemiKaulize Israel wao ndio wamesema hayo sio mimi, kuhamisha Nuclear materials walihamisha kwa ajili ya safety precautions walidhani MOP linaweza kufika zaidi ya 900 metre au 1 KM.
Kenge.mmoja wewe eti drones hazina impact uko huko zinapo fika kwenye target au upo kupiga.debe kwenye mabus station.Jerri itawaisha tu wairani na mashabiki wao wa ugaidi.. Tantalila nyingiii alafu hamna kitu... Mmelipuliwa mno na israel kutoka uwezo wa kurusha ballistic missile 300 had 40 kipigo cha Sunday nadhani watarusha 10 tu au 5. Drone wakaziuze russia tu Hasina impact Kea israel yaani wamerusha 1000 9999 no impact moja tu ndio imepasua ukuta
Hiyo bomb, mop, haiwezi kupenetrate zaidi ya 60m, haina tani 30k bali ina 13.6k.Ile Ngoma inaenda 200 ft about 65m chini, ina ton 30,000, Hakuna namna Kuna kitu ina survive
Kufunika kichwa ndio lazima, nasio hijabu.Uislam upo very clear Hijab ni lazima nywele za.mabint waislam wakisha baleghe wasiwachie wengine wazione, wanao ruhusiwa kuona ni kaka zake na mme wake au wale wasio ruhusiwa kumuoa.