KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,083
- 2,183
Nguvu za kupigana na muyahudi anazo lakini sidhani kama anazo za kupigana na USA.Mimi ningekuwa Iran ningemaliza hii vita, ningeacha kelele na nuclear program ili waniondolee vikwazo ili nianze kujenga nchi yangu upya, ukweli kwa sasa sina nguvu ya kupigana na myahudi or America
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran
View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K
Kwani wamekwambia hawawezi kurudia kupiga??MOP ni tikiti maji tu sa Trump kaishiwa karata kuingiza boots hawezi
Sijaona popote Israel kasema huo UHARO wako!!! Au wewe bado unajifariji kwa kutumia TAQIYYAH yenu pendwa??Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran
View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K
TAQIYYAH!!!!! TAQIYYAH!!!!!!Hio habari ya alfajiri leo we kenge, sio leo jioni nikikuita kenge ni kweli hapo makenge wenzako walidhani wamefanikiwa
We utaona wapi upo unasaficha vyoo huko Tela Aviv ikiwa USA wamekiri wameisha failed we nani useme vingineSijaona popote Israel kasema huo UHARO wako!!! Au wewe bado unajifariji kwa kutumia TAQIYYAH yenu pendwa??
Endelea tu kunyea dawa za kupunguza maumivu!!!! Lakini Fordow is Gone kazi imeisha!!!
Taqiyyah hata kwenye mambo ya msingi!!!
We lini ulikubali ukweli umeisha zoweya kuwasifia mabasha zakoTaqiyyah hata kwenye mambo ya msingi!!!
...Wewe ni mwongo. Ni Iran ndiyo iliyowaambia wajumbe wa EU kuwa iko tayari kurudi kwenye mazunghmzo na USA endapo USA itaweza kuiambia Israel isimamishe mashambulizi.
Umeumia sanaSource: Ayatollah Ritz wa Buza.
Kila wakati nawaambia Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua wenyewe tu. Harafu mnanikasirikia sana na sijui kwa nini hebu msikilize Mfuga Majini mwenzenu akiwapa darasa!!We lini ulikubali ukweli umeisha zoweya kuwasifia mabasha zako
Basi msikilize Mfuga Majini mwenzakoWe lini ulikubali ukweli umeisha zoweya kuwasifia mabasha zako
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran
View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K
Aisee....Kumbe Fordo haikuzikwa na yale mabomu.
Hii ni kutafuta justification ya kuendelea kuwachapa tenaUjumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran
View: https://youtu.be/5KAqbLanGh0?si=q15Ik2CMU37RAB8K
Mitbo ya Fordow ipo mita 800 chini ya Ardhi according to wakaguzi ile taasisi ya ukaguzi wa nyuklia IEAIle Ngoma inaenda 200 ft about 65m chini, ina ton 30,000, Hakuna namna Kuna kitu ina survive
Huwezi kuingia peponi kisa ulikuwa unavaa vazi fulani, hizo ni hadithi za sungura na fisi.Kwani wamelazimishwa kwenda peponi sinkila mtu ana njia zake akubali au akatae uwamuzi ni wake.