Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

Walihamisha Uranium kwa ajili ya safety precaution na hio Fawdar nuclear ipo deep kama 900 meter to 1 KM hayo maboom ya MOP maximum yanaenda 600 meter umefahamu au bado.

Israel waongo sana lakini sionkila wajati muongo hakoseibajasema ukweli.
 
Huwezi kuingia peponi kisa ulikuwa unavaa vazi fulani, hizo ni hadithi za sungura na fisi.
Pepo ni vitendo na kitu kilicho katazwa na Mungu we ukakifanya sahau kwenda peponi labda pepo ya Paulo
 
Mitbo ya Fordow ipo mita 800 chini ya Ardhi according to wakaguzi ile taasisi ya ukaguzi wa nyuklia IEA
Hakuna taifa lolote duniani lililoweza kuchimba shimo la mita 800 (karibu kilomita moja) chini ya ardhi na kuweka vinu vya nuklia huo ni uongo uliokubuhu.

Mitambo ya nyuklia ya Iran inasemekana kuwa umbali wa mita 80 chini ya ardhi.
 
Thread haijakaa ki greak thinker, iko shallow sana.
Umesema Israel wamekili, nilitegemea video iwe na kiongozi wa Israeli akitoa hiyo comment lakini nikakuta waarabu na maandishi ya kiarabu.
Mtu kama mimi nitaaminuje?
 
Walihamisha Uranium kwa ajili ya safety precaution na hio Fawdar nuclear ipo deep kama 900 meter to 1 KM hayo maboom ya MOP maximum yanaenda 600 meter umefahamu au bado.

Israel waongo sana lakini sionkila wajati muongo hakoseibajasema ukweli.

Mfano kuna watu hapa kwenye picha Israel ilisema imewaua. Kumbe uongo wapo honey moon na wake 72. Tusiwaamini kamwe.
 
Kaulize Israel wao ndio wamesema hayo sio mimi, kuhamisha Nuclear materials walihamisha kwa ajili ya safety precautions walidhani MOP linaweza kufika zaidi ya 900 metre au 1 KM.
Inaitwa MOAB siyo MOP. Hujui ata unachokisema. Hakuna Fordow tena. Leo Israel kamalizia kulipua pakuingilia na pakutokea. Alafu toa source iliyosema Israel kasema sijui nini. Tupo tunafuatilia vizuri sana hakuna uongo tutaruhusu. Mayahudi wanazurura na ndege kila mahali Iran, Iran basi na wao wapeleke ndege ata Syria tu uone. Acheni kudanganyana. Iran kimeumana.
 
Hahahaha kweli hapa tuna wajinga eti sio MOP dogo linaitwa MOP ujinga wapekekee wajinga wenzako
SOMA HAPO CHINI UPATE AKILI USISHINDANE NA MIMI


GBU-57A/B MOP
The GBU-57 series MOP (Massive Ordnance Penetrator) is a 30,000 pound (13,607 kg) class, 20.5-foot-long (6.2 m) precision-guided munition "bunker buster"
 
Dizaini kazi haikufanyika vizuri
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-23-13-40-17-581.jpg
    380.2 KB · Views: 13
Nsmi hili nisoma leo Jerusalem Post wamekiri marekani hakulipua, hivyo Israel wanafanya tathmini mpya ya jinsi ya kulipua hiyo mitambo.
 
Unajua iran hatakiwi kuwashtua kama hajaumia alitakiwa kukaa kimya ili mazungumzo yafanyike bila madhara makubwa, bila ya hivyo watamchangia watamuumiza maana anakuwa anapigana na nato yote, hasara inakuwa kubwa
 
Walihamisha Uranium kwa ajili ya safety precaution na hio Fawdar nuclear ipo deep kama 900 meter to 1 KM hayo maboom ya MOP maximum yanaenda 600 meter umefahamu au bado.

Israel waongo sana lakini sionkila wajati muongo hakoseibajasema ukweli.
Huu ni uongo wa wazi kabisa, hakuna mtambo wa kurutubisha uranium iliyo chini ya ardhi kwa eti mita 800-900, hamna hizo ni porojo za masjid ubwabwa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…