A Adiosamigo JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 11,253 Reaction score 15,070 Jun 23, 2025 Thread starter #81 incharge said: Unajua iran hatakiwi kuwashtua kama hajaumia alitakiwa kukaa kimya ili mazungumzo yafanyike bila madhara makubwa Click to expand... Hapana sawa alicho sema Iran ili wajue wazi sio kila kitu utafanikiwa kwa njia ya nguvu.
incharge said: Unajua iran hatakiwi kuwashtua kama hajaumia alitakiwa kukaa kimya ili mazungumzo yafanyike bila madhara makubwa Click to expand... Hapana sawa alicho sema Iran ili wajue wazi sio kila kitu utafanikiwa kwa njia ya nguvu.
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 17,999 Reaction score 21,560 Jun 23, 2025 #82 antimatter said: Kwani wamekwambia hawawezi kurudia kupiga?? Click to expand... Trump said, "if Iran retaliates the US reaction will be greater and much easier". Hii maana yake inaweza kuwa ni nini labda kumuua Ayatollah na wapambe wake.
antimatter said: Kwani wamekwambia hawawezi kurudia kupiga?? Click to expand... Trump said, "if Iran retaliates the US reaction will be greater and much easier". Hii maana yake inaweza kuwa ni nini labda kumuua Ayatollah na wapambe wake.
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 17,999 Reaction score 21,560 Jun 23, 2025 #83 Adiosamigo said: Pepo ni vitendo na kitu kilicho katazwa na Mungu we ukakifanya sahau kwenda peponi labda pepo ya Paulo Click to expand... Hao waarabu labda walitangaziwa na huyo mungu wao sasa sisi huku Afrika anatuhusuje.
Adiosamigo said: Pepo ni vitendo na kitu kilicho katazwa na Mungu we ukakifanya sahau kwenda peponi labda pepo ya Paulo Click to expand... Hao waarabu labda walitangaziwa na huyo mungu wao sasa sisi huku Afrika anatuhusuje.
A Adiosamigo JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 11,253 Reaction score 15,070 Jun 23, 2025 Thread starter #84 Imeloa said: Hao waarabu labda walitangaziwa na huyo mungu wao sasa sisi huku Afrika anatuhusuje. Click to expand... Yesu aliongea kiswahili kenge wewe
Imeloa said: Hao waarabu labda walitangaziwa na huyo mungu wao sasa sisi huku Afrika anatuhusuje. Click to expand... Yesu aliongea kiswahili kenge wewe
K Kohelethi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 4,709 Reaction score 4,595 Jun 23, 2025 #85 Bill said: Mbona wanaongea ovyo hata sielewi Alieelewa aniambie Click to expand... Huyo anashida kubwa. Mfatilie vizuri. Sasa hivi atakwambia mkanisa
Bill said: Mbona wanaongea ovyo hata sielewi Alieelewa aniambie Click to expand... Huyo anashida kubwa. Mfatilie vizuri. Sasa hivi atakwambia mkanisa