Israel inatumia sayansi na Palestine inatumia imani

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
593
Reaction score
2,219
Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa.

Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa wajipange kwenye sayansi zaidi maana mbinu zinatumika na israel ni za kisayansi zaidi kutoa kipigo kikali.

Mfano iron dome mfumo ule wa kutungua makombora yasitue kwenye ardhi ya israel ..sio imani ile ni sayansi ya hali juu walitengeneza ule mfumo mwaka 2011.

Haya mfumo wa kutambua wapi hezbola wameweka mi makombora yao wanatumia sayansi kubwa sana hata kombora liwe chumbani wanatumia A.I kutambua kombora umeweka wapi.

Sasa ndugu zetu Waislamu ukiwauliza mambo ya maana utasikia hakuna sayansi yote imeandikwa kwenye quran unawaambia tuonesha wanaanza mohamed aliposema hivi alikuwa ana maanisha hivi ndo sayansi hiyo inshort waarabu uislamu huwa una let down unasababisha lile eneo kuto badilika ki fikra kwa muda wa miaka 1400 bado wanaishi kwa mawazo ya mtu alikufa mwaka 600 na mtume aliset mambo kwenye quran hata vitu vibadilike kuanzia kuvaa kula kufanya sayansi kitamaduni mfano hatak music .... hatak wanawake washirik shughuli mbalimbali hivyo kufanya waislam wengi kuwa na mawazo ya miaka 1400 nyuma wanaishi kwa mawazo ya mtu wa mwaka 600.

Ifike kipindi wajue dunia elimu dunia ni muhimu sana kuliko elimu akhera sasa kichapo kinachoendelea kule ni kukosa elimu stahiki tu la hivyo. Elimu stahiki ni pamoja na kujua muda gani unatakiwa kuattack..mfano kuna kitabu kinaitwa art of war kinatoa ushauri muda gani sahihi wa kupigana na muda gani sahihi kuacha kiliandikwa na sun tzu mchina miaka mingi hiki huwa kinatumika sana wakati wa vita mbali mbali.

Nawashauri kwa miaka 30 wenge fanya juhudi za ku invest zaidi kwenye sayansi pia waachane na mambo ya quran kwanza wajijenge kisayansi na kielimu zaidi pia watafute washiriki wasio waislam ....maana wakiwa waislmu watajazana ujinga tu.

Iran mfano ni nchi yenye watu wenye akili sana dunia na wale sio waarabu lla waliharibikiwa mwaka 1972 baad kuifanya ile nchi ya Kiislamu na kutoa yule mfalme wao ila wale wa persia ni hatari ila uislam una walet down miaka yote sababu uislam una emphasis kwenye elimu akhera zaidi kuliko elimu dunia ndo maana unaona iran toka uislam uingiee toka enzi za persia wameyumba kiakili.

Inshort mimi siwapendi waisrael wanachofanya pale, ila pia nachukia wapalenstine kupigwa sababu tu ujinga na mipango mibovu.

Palestine na waarabu siku wakija kujua kuwa uislam unalet down na kua sayansi na mipango isiyo ya kiimani ni muhimu watafika mbali na kumtoa muisrael pale, ila wakiendele na kila japo sijui allah akbar kujitoa muhanga ni kupoteza muda.
 
Hezbollah pia wana wataalam ktk kila sekta na technology za juu pia, ila Israel amepenyeza inteligensia yake sana ndani ya Hezbollah, ndio hapo anapowapata. Unaambiwa zile pagers na walkie-talkie zilizokuwa zinalipuka two weeks ago, tangu zimewekwa order ya kutengenezwa Israel wenyewe ndio walisimamia show. Mpaka sasa kinatafutwa kiwanda kilichotengeneza hakujulikani kilipo.
 
Mkuu hakuna kitu technology zao ndogo mno .... huyo muisrael anatoa kipigo cha sayansi ya hali juu
 
Madai yako sio kweli kabisa ndugu yangu , nitakujibu kwa fact , ina maana kushindwa huko nyuma 2006 hiyo sayansi ilikuwepo wapi ?

Wewe una elimu gani kwanza maana naoona unaropoka , kapigana Hezbollah basi unashambulia waislamu ..Saudia kainvest pesa nyingi kweny IA na pia Hijjah iliyopita walianza kutumia flying taxi ,mbona hoja yako sioni hapo .

Unasema wanwake hawaruhusiwi kusoma , je unajua kwamba Iran na nchi za kiislamu zina wasomi wanawake wengi kuliko wanaume !?

university.png

Wanawake nchi za mashariki ya kati wamesoma sana , katika nchi za kiislamu wamesoma field ya STEM nikiwa na maana science, technology , engineering and mathematics ...Hawasomi sheria za feminist za wazungu 😀 wana sheria zao tofauti na wazungu ndio maana hwahesabu ...Huko canada wanawake ni wasomi wa sheria na mass communication ndio field wanaenda

university 2.png

Unatafuta justification tu useme kuhusu uislamu , hiyo vita sio ya waislamu kwa sababu madhara ya vita ni makubwa sana tofauti na unavyojua ....Umoja wa waislamu wameweka misimamo yao ila sio kuweka vita wanajienga huko Dubai , Qatar , Saudia ....Usitafute visa wapo sunni waliofurahi kufa kwa hao jamaa kwa vile hawapendi vurugu
 
Kinachaangusha Waarabu ni umoja. Hawana umoja. Ila wana kila kitu kuishinda Israel kasoro Technology na ushirikiano.

Wakiamua nchi zote za kiarabu wasiuze gesi na mafuta au kufanya biashara yoyote na Israel na washirika wake hata kwa miezi mitatu hadi Palestina wapate haki yao watafanikiwa tena bila kurusha kombola moja.
 
bado wanaishi kwa mawazo ya mtu alikufa mwaka 600..
Wakristo wanaishi kwa mawazo ya Yesu au wenyewe wanaishi kwa mawazo ya nani?? Toka aseme atakuja imepita miaka mingapi?? Usipende kukejeli imani za watu.

Acha mahaba, tumia akili yako vizuri, hivi kuna kundi la kigaidi linaweza kulishinda jeshi la nchi yoyote ikiwa nchi hiyo imeamua kutumia rasilimali zote za ndani na nje?? Hapa namaanisha msaada wa ndani na wa nje.

Israel bila msaada wowote anaweza kuishinda Iran kijeshi?? Tumia mfano wa Ukraine kwa Urusi.

Hoja ya akili: Kila jamii ina binaadamu werevu na wajinga.Au unaamini wewe wayahudi wote wana akili kwa asilimia mia moja??

Penda kujifunza na kujielimisha , waarabu waliwahi kuivamia jamii ya kiyahudi na kuitawala, Rumi walifanya hivyo, Ottoman walifanya hivyo.

Kuna kosa la kiufundi walifanya hao Hezbollah na siyo la kisayansi ambalo lilipelekea wayahudi kujipenyeza, hii jamii yoyote inaweza kufanya na siyo wao pekee!

Hoja ya msingi: Ni jamii ya kawaida kama jamii zingine.Fuatilia siasa za dunia hasa za kimkakati ndiyo utajua why mataifa makubwa yanaikumbati hii jamii halafu utaona kama dini au akili zao zinahusika!

Nb: Kama unataka kuelekezana nipo tayari, ila kama kubishana sipo tayari kwani wajinga ndiyo hubishana!
 
Isreal
Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa

Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa wajipange kwenye sayansi zaidi maana mbinu zinatumika na israel ni za kisayansi zaidi kutoa kipigo kikali

Mfano iron dome mfumo ule wa kutungua makombora yasitue kwenye ardhi ya israel ..sio imani ile ni sayansi ya hali juu walitengeneza ule mfumo mwaka 2011

Haya mfumo wa kutambua wapi hezbola wameweka mi makombora yao wanatumia sayansi kubwa sana hata kombora liwe chumbani wanatumia A.I kutambua kombora umeweka wapi

Sasa ndugu zetu Waislamu ukiwauliza mambo ya maana utasikia hakuna sayansi yote imeandikwa kwenye quran unawaambia tuonesha wanaanza mohamed aliposema hivi alikuwa ana maanisha hivi ndo sayansi hiyo inshort waarabu uislamu huwa una let down unasababisha lile eneo kuto badilika ki fikra kwa muda wa miaka 1400 bado wanaishi kwa mawazo ya mtu alikufa mwaka 600... na mtume aliset mambo kwenye quran hata vitu vibadilike kuanzia kuvaa kula kufanya sayansi kitamaduni mfano hatak music .... hatak wanawake washirik shughuli mbalimbali hivyo kufanya waislam wengi kuwa na mawazo ya miaka 1400 nyuma wanaishi kwa mawazo ya mtu wa mwaka 600....

Ifike kipindi wajue dunia elimu dunia ni muhimu sana kuliko elimu akhera sasa kichapo kinachoendelea kule ni kukosa elimu stahiki tu la hivyo..... elimu stahiki ni pamoja na kujua muda gani unatakiwa kuattack..mfano kuna kitabu kinaitwa art of war kinatoa ushauri muda gani sahihi wa kupigana na muda gani sahihi kuacha kiliandikwa na sun tzu mchina miaka mingi hiki huwa kinatumika sana wakati wa vita mbali mbali

Nawashauri kwa miaka 30 wenge fanya juhudi za ku invest zaidi kwenye sayansi pia waachane na mambo ya quran kwanza wajijenge kisayansi na kielimu zaidi pia watafute washiriki wasio waislam ....maana wakiwa waislmu watajazana ujinga tu

Iran mfano ni nchi yenye watu wenye akili sana dunia na wale sio waarabu lla waliharibikiwa mwaka 1972 baad kuifanya ile nchi ya Kiislamu na kutoa yule mfalme wao ila wale wa persia ni hatari ila uislam una walet down miaka yote sababu uislam una emphasis kwenye elimu akhera zaidi kuliko elimu dunia ndo maana unaona iran toka uislam uingiee toka enzi za persia wameyumba kiakili

Inshort mimi siwapendi waisrael wanachofanya pale....ila pia nachukia wapalenstine kupigwa sababu tu ujinga na mipango mibovu .....

Palestine na waarabu siku wakija kujua kuwa uislam unalet down na kua sayansi na mipango isiyo ya kiimani ni muhimu watafika mbali na kumtoa muisrael pale....ila wakiendele na kila japo sijui allah akbar kujitoa muhanga ni kupoteza muda

Wakiristo mbona mnanunua kwa wingi udongo wa Mwamposa na kwa mamilioni ya madola. Au Sayansi kwenu mnatumia wakati gani?
 
Kinachaangusha Waarabu ni umoja. Hawana umoja. Ila wana kila kitu kuishinda Israel kasoro Technology na ushirikiano.

Wakiamua nchi zote za kiarabu wasiuze gesi na mafuta au kufanya biashara yoyote na Israel na washirika wake hata kwa miezi mitatu hadi Palestina wapate haki yao watafanikiwa tena bila kurusha kombola moja.
Jmaa kachaniwa mkeka huyo , alikuwa anashabikia vita ....Anafikria kwamba waislamu wote pale jamii ya waarabu wanapigana ....Saudia hawezi kupigana hata siku moja ana teknolojia nyingine ila makombora hana mda nao maana hana mpango wa vita .

Akifanya vita basi ule ufalme utapinduliwa .
 
Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa

Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa wajipange kwenye sayansi zaidi maana mbinu zinatumika na israel ni za kisayansi zaidi kutoa kipigo kikali

Mfano iron dome mfumo ule wa kutungua makombora yasitue kwenye ardhi ya israel ..sio imani ile ni sayansi ya hali juu walitengeneza ule mfumo mwaka 2011

Haya mfumo wa kutambua wapi hezbola wameweka mi makombora yao wanatumia sayansi kubwa sana hata kombora liwe chumbani wanatumia A.I kutambua kombora umeweka wapi

Sasa ndugu zetu Waislamu ukiwauliza mambo ya maana utasikia hakuna sayansi yote imeandikwa kwenye quran unawaambia tuonesha wanaanza mohamed aliposema hivi alikuwa ana maanisha hivi ndo sayansi hiyo inshort waarabu uislamu huwa una let down unasababisha lile eneo kuto badilika ki fikra kwa muda wa miaka 1400 bado wanaishi kwa mawazo ya mtu alikufa mwaka 600... na mtume aliset mambo kwenye quran hata vitu vibadilike kuanzia kuvaa kula kufanya sayansi kitamaduni mfano hatak music .... hatak wanawake washirik shughuli mbalimbali hivyo kufanya waislam wengi kuwa na mawazo ya miaka 1400 nyuma wanaishi kwa mawazo ya mtu wa mwaka 600....

Ifike kipindi wajue dunia elimu dunia ni muhimu sana kuliko elimu akhera sasa kichapo kinachoendelea kule ni kukosa elimu stahiki tu la hivyo..... elimu stahiki ni pamoja na kujua muda gani unatakiwa kuattack..mfano kuna kitabu kinaitwa art of war kinatoa ushauri muda gani sahihi wa kupigana na muda gani sahihi kuacha kiliandikwa na sun tzu mchina miaka mingi hiki huwa kinatumika sana wakati wa vita mbali mbali

Nawashauri kwa miaka 30 wenge fanya juhudi za ku invest zaidi kwenye sayansi pia waachane na mambo ya quran kwanza wajijenge kisayansi na kielimu zaidi pia watafute washiriki wasio waislam ....maana wakiwa waislmu watajazana ujinga tu

Iran mfano ni nchi yenye watu wenye akili sana dunia na wale sio waarabu lla waliharibikiwa mwaka 1972 baad kuifanya ile nchi ya Kiislamu na kutoa yule mfalme wao ila wale wa persia ni hatari ila uislam una walet down miaka yote sababu uislam una emphasis kwenye elimu akhera zaidi kuliko elimu dunia ndo maana unaona iran toka uislam uingiee toka enzi za persia wameyumba kiakili

Inshort mimi siwapendi waisrael wanachofanya pale....ila pia nachukia wapalenstine kupigwa sababu tu ujinga na mipango mibovu .....

Palestine na waarabu siku wakija kujua kuwa uislam unalet down na kua sayansi na mipango isiyo ya kiimani ni muhimu watafika mbali na kumtoa muisrael pale....ila wakiendele na kila japo sijui allah akbar kujitoa muhanga ni kupoteza muda

I
Ni kweli Iran ni taifa lenye watu wenye akili. Wana Historia ya kuwa moja la Taifa lenye nguvu duniani kwa miaka mingi sana na viongozi hodari kama Cyrus, Darius, Xerxes toka miaka ya 300 BC huko Ni kweli mapinduzi ya 1972 na kuwa hasa misimamo mikali yameirudisha nyuma sana.

Lakini kama watafanikiwa kuwa na strategic alliance na Russia ndani ya miaka kumi, hamsini, 100 ijao naona watakuwa vizuri hasa kama kutakuwa na super power nyingine sawa na USA kama China, India, Russia, Brazil, African Union, EU. Au kama BRICS itapata nguvu kubwa.
 
Vita ya pale imekaa kimchongo , Kiongozi wa Hmas kauliwa ndani ya Iran , huko nyuma viongozi wa juu mpaka raisi wa Iran kauliwa ....Nasrallah kashirikiana na iran kapigwa mapema sana .

Swali, mateka wanaoshikilia Hamas mpaka leo Israel hna taarifa wko wapi? Saudi na waarabu hawawezi kuingilia wanaweza kuuzwa kweupe .
 
Hebu fanya Research zako vizuri
1. Iran chini ya Shah ilipitwa na Tanzania kwenye Idadi ya watu wanaojua kusoma na Kuandika, Mapinduzi ya Sayansi yamefanywa na Ayatollah ndani ya miaka Michache wamepiga Hatua kubwa sana

2. Palestina nickname yao kubwa ni Most educated Refugees, wanaitwa hivyo sio bahati mbaya, they are so smart na Wana wanasayansi wakubwa vibaya mno, Hapo Palestina kuna Chuo kimetoa wanasayansi 7 ambao wapo Top 2% ya wanasayansi ambao wana contribution kubwa zaidi ulimwenguni.

Hata hapo Gaza kuna Wana sayansi wapo 2% japo vita haziishi.

3. Huko Lebanon ndio usiseme wapo everywhere hasa kwenye hizo science.

Issue hapa Hizi Nchi ni Changa zimetoka kutawaliwa miaka kadhaa iliopita, hawana Support ya Kifedha/kiuchumi it will take time.
 
Hezbollah pia wana wataalam ktk kila sekta na technology za juu pia, ila Israel amepenyeza inteligensia yake sana ndani ya Hezbollah, ndio hapo anapowapata. Unaambiwa zile pagers na walkie-talkie zilizokuwa zinalipuka two weeks ago, tangu zimewekwa order ya kutengenezwa Israel wenyewe ndio walisimamia show. Mpaka sasa kinatafutwa kiwanda kilichotengeneza hakujulikani kilipo.
Ndiyo hoja ya mleta uzi ilipojikita. Sayansi against Imani.

Israel hawezi letewa hayo mavifaa fake kwakuwa Ana wanasayansi wake binafsi wa kiwango cha juu.
 
Kinachaangusha Waarabu ni umoja. Hawana umoja. Ila wana kila kitu kuishinda Israel kasoro Technology na ushirikiano.

Wakiamua nchi zote za kiarabu wasiuze gesi na mafuta au kufanya biashara yoyote na Israel na washirika wake hata kwa miezi mitatu hadi Palestina wapate haki yao watafanikiwa tena bila kurusha kombola moja.
Hujui dunia wew unazan hao waarabu ardhi yao lakini mwenye mamlaka na iyo ardhi ni Inchi za Magharibi mtu ambaye anamiliki resources zake duniani bila kupangiwa na inch za ulaya ni Russian pekee ake mkuue......

Zingatia neno Duniani Inchi ambayo ipo na umiliki wa kutopangiwa ni Urusi
 
Ndiyo hoja ya mleta uzi ilipojikita. Sayansi against Imani.

Israel hawezi letewa hayo mavifaa fake kwakuwa Ana wanasayansi wake binafsi wa kiwango cha juu.
Ile ni timing, kiufupi kama laiti ungejua israel wanaishije pale ...Hiyo amani hawana maisha ...Wenzao wanajenga miji mikubwa ila wapo wanatumia pesa kubwa kweny jeshi ..Bajeti kubwa inamuweka pale juu ni kama Tz anaomba nje tena inatengwa kama sehemu ya marekani.

Shambulia la pagers ni sawa na mashambulio mengine hata USA anapigwa mashambulia ya kimtandao na ni kosa kimataifa ...In case angefanya mtu mwingine ingekuwa kesi kubwa sana .

Marck wa fb anafilisiwa sana kama nchi zote zikidai fidia za kudukuliwa account zao za fb , baadhi ya nchi analipa faini ....ikiwa ni shambulia ya kimtandao .
 
Vita ya pale imekaa kimchongo , Kiongozi wa Hmas kauliwa ndani ya Iran , huko nyuma viongozi wa juu mpaka raisi wa Iran kauliwa ....Nasrallah kashirikiana na iran kapigwa mapema sana .

Swali, mateka wanaoshikilia Hamas mpaka leo Israel hna taarifa wko wapi? Saudi na waarabu hawawezi kuingilia wanaweza kuuzwa kweupe .

Akifanya vita basi ule ufalme utapinduliwa .

Wanaweza kuiwekea Israel na washirika wa Israel vikwazo vya kiuchumi na kibiashara hakuna haja ya kurusha kombola.

Pia wanaweza kuwekeza kwenye technologia ya hali ya juu na Intelligence kama China au Israel walivyofanya sababu wana mafuta, gesi na pesa za kumwaga. Pia kuwekeza kwenye lobbying kubwa ndani ya mataifa yote makubwa na muhimu kama USA, China, mataifa ya Ulaya kama Israel anavyofanya.
 
Ni kweli Iran ni taifa lenye watu wenye akili. Wana Historia ya kuwa moja la Taifa lenye nguvu duniani kwa miaka mingi sana na viongozi hodari kama Cyrus, Darius, Xerxes toka miaka ya 300 BC huko Ni kweli mapinduzi ya 1972 na kuwa hasa misimamo mikali yameirudisha nyuma sana.

Lakini kama watafanikiwa kuwa na strategic alliance na Russia ndani ya miaka kumi, hamsini, 100 ijao naona watakuwa vizuri hasa kama kutakuwa na super power nyingine sawa na USA kama China, India, Russia, Brazil, African Union, EU. Au kama BRICS itapata nguvu kubwa.
Kwamba Iran ya Leo ni isiyo na maendeleo kuliko Iran ya mwaka wa 1979?
 
Wanaweza kuiwekea Israel na washirika wa Israel vikwazo vya kiuchumi na kibiashara hakuna haja ya kurusha kombola.

Pia wanaweza kuwekeza kwenye technologia ya hali ya juu na Intelligence kama China au Israel walivyofanya sababu wana mafuta, gesi na pesa za kumwaga. Pia kuwekeza kwenye lobbying kubwa ndani ya mataifa yote makubwa na muhimu kama USA, China, mataifa ya Ulaya kama Israel anavyofanya.
Jamaa kashakataa kutumia dollar , yuko mguu pande kwenye Brics tatizo ana dili ya kiusalama na USA.
 
Kwamba Iran ya Leo ni isiyo na maendeleo kuliko Iran ya mwaka wa 1979?
Karibu kila nchi Duniani imepiga hatua ukilinganisha na mwaka 1979. Nasema ingekuwa mbali zaidi kiuchumi, kiteknologia, kijeshi na kibiashara labda zaidi ya Turkey.

Turkey baada ya mapinduzi 1923 chini ya Ataturk aliamua ku- modernise na kuifanya nchi iwe secular akajifunza technologia nyingi Ulaya, hasa Ujerumani. Iran ingeweza kufanya hivyo pia.

Misri nayo chini ya Nasser 1952 ilifanya mapinduzi na kuanza ku-modernise, kama kujenga bwawa kubwa zaidi la Nishati, kuchukua Suez Canal, kilimo cha kisasa, kujenga viwanda vingi nk akihimiza umoja wa Waarabu na maendeleo ya wote. Hakuwa na misimamo mikali ya kidini kama Muslim Brothrhood au Iran baada ya 1979.
 
Back
Top Bottom