Israel inatumia sayansi na Palestine inatumia imani

Imani haijawahi kumsaidia binadamu chochote.

Zaidi ya machafuko na mapigano.

Na hilo linathibitika waziwazi.
 
Hii comment yako inahusiana nini na mada yako? Siku hizi JF imevamiwa na watoto sana

Anyway kuhusu Comment yako huko Lebanon haijalishi ni Mkristo, Uislamu, Shia, Druze, Sunni etc wote linapokuja Suala la Israel wote wanaungana ni kitu kimoja.

Hao wakristo Wa Lebanon/Palestina na wao wanauliwa kama Waisilamu tu, badala ya kuandika uongo humu kwanini Usitafute Ukweli kuhusu hao Wakristo wa Lebanon feeling zao zipoje? Kwanini uwasemee feeling zako wewe na nafsi yako inachotamani kama ndio ukweli?

1. Lebanon ina Raisi Mkristo sababu ya Hezbollah umoja wa wakristo na Hezbollah ndio uliokiingiza Chama cha Maronite Madarakani na Michael Aoun kuwa raisi.
Mkuu, tuamini simulizi ya nani kati ya wewe na huyo mama hapo chini aliyezaliwa na kukulia Lebanon??
👇
 
Boss that's not how it works, kama ni kutafuta opinion za mtu mmoja mmoja tutajaza server humu.

Majority ya Wakristo wa Lebanon ni dhehebu la Maronite, wakifuatiwa na Greek Orthodox, hao Maronite ndio wanatoa maraisi pia, unaweza ukaniwekea hapa Viongozi wa Maronite wanasemaje? Na opinion zao na views zao?
 
Mkuu,
It seems simulizi ya huyo mama ni halisi na kweli zaidi, hizi zingine ni porojo tu
 
Uzuri hujui unachoongea ukiona sehemu yeyote uislam upo fujo ni swala kugusa tu ..... ukiona kuna amani jua hiyo nchi lazima kiongozi anawajua vizuri waislam na tabia zao yaaani lazima uwe na mkono wa chuma la hivyo wanaharibu nchi huku una jiona watataka kuanzisha caliphate kama ilivyoandikwa kwenye quran
Kwamba Malyasia, Indonesia, Brunei, Oman, UAE, Saudia, Kuwait, Qatar na wengineo viongozi wao wanatumia Mkono wa Chuma? Huna hata kimoja unachokijua kuhusu uisilamu zaidi ya propaganda.

Kama hujui Coup kwenye uisilamu ni Haramu huruhusiwi kabisa kumpindua kiongozi ndio maana unakuta nchi hizo zilizoshika Dini nadra kukuta wamebadili Viongozi kwa kupindua.
Hizo nchi umetaja viongozi wako ngangali ndo maana hakuna shida hata wamarekani wanajua hiloo na dunia nzima ina

Vipi kijana ushatoka madrasa kuja kuandika nini hiki .....wakristo wa lebanon wanashangaa wahamiaji ndo waliileta hiyo Hezbollah wao pia hawaitak hezbolla...... sawa ukimaliza kusoma madrassa muwe munasoma hata gumbalu tu sawa
Hezbollah sio wahamiaji hakuna Mhamiaji hapo Lebanon wote hao vizazi na vizazi wapo hapo,

Siku hizi kuna Sayansi na studies kibao za Dna, Lebanon awe muisilamu ama Mkristo Genetic zao zinafanana, wote Halogroup J2.
 
Mkuu,
It seems simulizi ya huyo mama ni halisi na kweli zaidi, hizi zingine ni porojo tu
Kwamba Raisi wa Lebanon, MA Askofu, na wengine waliopo Huko hawajui ila random video ambayo nna uhakika hata majina ya anayesema humjui ndio ukweli?
 
Nipe GDP za hizo nchi mbili? Kuna mtu hajui kuhusu Sunni na Shia duniani? 400bn GDP unalinganisha na zaidi ta 1.1 Trillioni USD?

Hata Turkey, Egypt walikataa utumwa ili waliamua kutumia zaidi sera za kiuhalisia, kiuchumi kuliko sera za dini, misimamo mikali kwenye kila kitu.

Misimamo mikali mara nyingi wana ubaguzi wa kila aina hawakubali dini, jamii, maoni mengine.

Mfano ukiwa Sunni nchini, Mkristo, usiye na dini, au Iran itakuwa vigumu kupata madaraka makubwa au kuaminika au kupata haki sawa na wengine. Persia ilikuwa more cosmopolitan. Ndio maana unaona Dubai ni mchanganyiko sasa na imepiga hatua kubwa sana.
Madaraka yapi wakatia mkristo sio miongoni mwa watu wa asili yao , hawezi kuwa Raisi ....Iran anaishi kwa vikwazo miaka kibao ....Huwezi kuifananisha Iran na Turkey hata kidogo ...Iran ni nchi kubwa achana na GDP za mchongo hazina uhalisia wa maisha na ukubwa .
Iran ni nchi ina washirika wake , kuna haja gani ya kumchukua jirani ambaye sio indigenous kuwa rais ? USA mashariki ya kati anapambana na Iran tu basi , wengine wote wako chini yake ...Iran imejitoshelewa acaha na GDP za mchongo hazina uhalisia .

Iran sio ombaomba anamzidi mpaka Israel kwa kujitegemea ....Achana na uchumi wa makaratasi hauna uhalisia 😀 😀 😀
 
Saudi Arabia wana akili sana. Wanaelewa hasara za vita
Pia saudia wanabeba maono ya waislamu wengi , yaani 90% ..Huoni ikitokea vita itakuwa ni chuki ya dunia nzima ...Iran na wenzio ni 10%
 
Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa.

Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa wajipange kwenye sayansi zaidi maana mbinu zinatumika na israel ni za kisayansi zaidi kutoa kipigo kikali.

Mfano iron dome mfumo ule wa kutungua makombora yasitue kwenye ardhi ya israel ..sio imani ile ni sayansi ya hali juu walitengeneza ule mfumo mwaka 2011.

Haya mfumo wa kutambua wapi hezbola wameweka mi makombora yao wanatumia sayansi kubwa sana hata kombora liwe chumbani wanatumia A.I kutambua kombora umeweka wapi.

Sasa ndugu zetu Waislamu ukiwauliza mambo ya maana utasikia hakuna sayansi yote imeandikwa kwenye quran unawaambia tuonesha wanaanza mohamed aliposema hivi alikuwa ana maanisha hivi ndo sayansi hiyo inshort waarabu uislamu huwa una let down unasababisha lile eneo kuto badilika ki fikra kwa muda wa miaka 1400 bado wanaishi kwa mawazo ya mtu alikufa mwaka 600 na mtume aliset mambo kwenye quran hata vitu vibadilike kuanzia kuvaa kula kufanya sayansi kitamaduni mfano hatak music .... hatak wanawake washirik shughuli mbalimbali hivyo kufanya waislam wengi kuwa na mawazo ya miaka 1400 nyuma wanaishi kwa mawazo ya mtu wa mwaka 600.

Ifike kipindi wajue dunia elimu dunia ni muhimu sana kuliko elimu akhera sasa kichapo kinachoendelea kule ni kukosa elimu stahiki tu la hivyo. Elimu stahiki ni pamoja na kujua muda gani unatakiwa kuattack..mfano kuna kitabu kinaitwa art of war kinatoa ushauri muda gani sahihi wa kupigana na muda gani sahihi kuacha kiliandikwa na sun tzu mchina miaka mingi hiki huwa kinatumika sana wakati wa vita mbali mbali.

Nawashauri kwa miaka 30 wenge fanya juhudi za ku invest zaidi kwenye sayansi pia waachane na mambo ya quran kwanza wajijenge kisayansi na kielimu zaidi pia watafute washiriki wasio waislam ....maana wakiwa waislmu watajazana ujinga tu.

Iran mfano ni nchi yenye watu wenye akili sana dunia na wale sio waarabu lla waliharibikiwa mwaka 1972 baad kuifanya ile nchi ya Kiislamu na kutoa yule mfalme wao ila wale wa persia ni hatari ila uislam una walet down miaka yote sababu uislam una emphasis kwenye elimu akhera zaidi kuliko elimu dunia ndo maana unaona iran toka uislam uingiee toka enzi za persia wameyumba kiakili.

Inshort mimi siwapendi waisrael wanachofanya pale, ila pia nachukia wapalenstine kupigwa sababu tu ujinga na mipango mibovu.

Palestine na waarabu siku wakija kujua kuwa uislam unalet down na kua sayansi na mipango isiyo ya kiimani ni muhimu watafika mbali na kumtoa muisrael pale, ila wakiendele na kila japo sijui allah akbar kujitoa muhanga ni kupoteza muda.

Hamas, houthi na Hezbollah watumie albadir tu inatosha
 
Madaraka yapi wakatia mkristo sio miongoni mwa watu wa asili yao , hawezi kuwa Raisi ....Iran anaishi kwa vikwazo miaka kibao ....Huwezi kuifananisha Iran na Turkey hata kidogo ...Iran ni nchi kubwa achana na GDP za mchongo hazina uhalisia wa maisha na ukubwa .
Iran ni nchi ina washirika wake , kuna haja gani ya kumchukua jirani ambaye sio indigenous kuwa rais ? USA mashariki ya kati anapambana na Iran tu basi , wengine wote wako chini yake ...Iran imejitoshelewa acaha na GDP za mchongo hazina uhalisia .

Iran sio ombaomba anamzidi mpaka Israel kwa kujitegemea ....Achana na uchumi wa makaratasi hauna uhalisia 😀 😀 😀
Turkiye anamshinda iran kwa mbali
 
Sijui Iran walingiiaje mkenge wa hii dini ya muarabu, ni watu wenye akili sana, top IQ, lakini Uislamu umewafanya mazombi ya kuvaa mikanzu tu.
 
Takbiriii
 
Iran ana potential ya kuwa na uchumi mkubwa kuliko Turkey, Germany, labda hata Japan. Sababu ya resources alizonazo na watu walioelimika. Turkey hana resources nyingi lakini Turkey ni hub ya biashara, wamewajengea SGR, kuna utalii kwa sababu ya Historia yake, utalii wa watu kufanya operation mbalimbali, viwanda vikubwa vya vitu mbalimbali.

Kinachomkwamisha Iran ni hiyo misimamo mikali nchi ni kama imefungwa.

Marekani, UK, Ufaransa wamekuwa viongozi ambao wazazi wao hawajazaliwa kwenye hayo mataifa. Wanaangalia vipaji, uwezo, sio umezaliwa wapi.
 
Hezbollah pia wana wataalam ktk kila sekta na technology za juu pia, ila Israel amepenyeza inteligensia yake sana ndani ya Hezbollah, ndio hapo anapowapata. Unaambiwa zile pagers na walkie-talkie zilizokuwa zinalipuka two weeks ago, tangu zimewekwa order ya kutengenezwa Israel wenyewe ndio walisimamia show. Mpaka sasa kinatafutwa kiwanda kilichotengeneza hakujulikani kilipo.
Halafu kobaz moja litakuja likuambie ooo Israel akiingiza ground force Lebanon atachapika sana. Wakati zile pagers zimewaacha uchi kabsa Hezbollah siri zao zote hadharani
 
Kwamba Malyasia, Indonesia, Brunei, Oman, UAE, Saudia, Kuwait, Qatar na wengineo viongozi wao wanatumia Mkono wa Chuma? Huna hata kimoja unachokijua kuhusu uisilamu zaidi ya propaganda.

Kama hujui Coup kwenye uisilamu ni Haramu huruhusiwi kabisa kumpindua kiongozi ndio maana unakuta nchi hizo zilizoshika Dini nadra kukuta wamebadili Viongozi kwa kupindua.

Hezbollah sio wahamiaji hakuna Mhamiaji hapo Lebanon wote hao vizazi na vizazi wapo hapo,

Siku hizi kuna Sayansi na studies kibao za Dna, Lebanon awe muisilamu ama Mkristo Genetic zao zinafanana, wote Halogroup J2.
Uzuri mimi kubishana na muislam huwa siwezi maaana nawajua wengi wenu ni tabaka la chini kielimu hata ukiemika huewelewi.....haya kijana endelea kusoma madrassa na kudanganyana misikiti..... ila jua elimu ni muhimu ....sio una google unakuja kujaza maneno hayaeleweki wakati tunaona vita kule nani anashinda haya mpe hi mtume ...pia kuna mabikra 72 wanakusubiria mbinguni mkuu
 
Ushaonesha makucha yako sio? Toka mwanzo huna haja ya discussion yoyote bali kutolea watu maneno ya Dhihaka.

Usiku mwema.
 
Sijui Iran walingiiaje mkenge wa hii dini ya muarabu, ni watu wenye akili sana, top IQ, lakini Uislamu umewafanya mazombi ya kuvaa mikanzu tu.
Mkuuu ni hivi iran persia ilikuwa inapigana sana byzantine empire aka east roman empire ambayo ndo uturuki sasa ...sasa haya mapigano yaliacha iran au persia ikiwa katika hali mbaya kiusalama pia byzantine katika hali kiusalama sababu vita ni gharama

Sasa wakati uislam unaanza kusambaaa walikuwa iran haina uwezo wa kijeshi kupigana na lile vugu vugu la kiislamu so ilibid wasalimu amri .....pia kule upande byzantine pia walikutwa hawana nguvu kijeshi nao wakasalimu amri kumbuka uturuki ndo chimbuko la ukristo duniani....lakini leo hii ni waislam wanakaaa pale
 
Ushaonesha makucha yako sio? Toka mwanzo huna haja ya discussion yoyote bali kutolea watu maneno ya Dhihaka.

Usiku mwema.
Sasa wewe unaona kinachoendelea middle east afu unakuja google zako wakati unaona middle vita nani anashinda na sababu ziko wazi.....kama sio elimu ya madrasa ni nini
 
Kama huna hela omba uchangiwe mkuu siku hizi Hospitali ni Nyingi, maana si kwa kuchangayikiwa huku. Hebu Soma mwenyewe mada ulioanzisha na hiki ulichotype.

Mada inahusu wanasayansi, nikukumbushe tu mada yako maana naona unaingia huku unatoka kule hata hujui una discuss nini.
 
Back
Top Bottom