Ni kweli Iran ni taifa lenye watu wenye akili. Wana Historia ya kuwa moja la Taifa lenye nguvu duniani kwa miaka mingi sana na viongozi hodari kama Cyrus, Darius, Xerxes toka miaka ya 300 BC huko Ni kweli mapinduzi ya 1972 na kuwa hasa misimamo mikali yameirudisha nyuma sana.
Lakini kama watafanikiwa kuwa na strategic alliance na Russia ndani ya miaka kumi, hamsini, 100 ijao naona watakuwa vizuri hasa kama kutakuwa na super power nyingine sawa na USA kama China, India, Russia, Brazil, African Union, EU. Au kama BRICS itapata nguvu kubwa.