Hii comment yako inahusiana nini na mada yako? Siku hizi JF imevamiwa na watoto sana
Anyway kuhusu Comment yako huko Lebanon haijalishi ni Mkristo, Uislamu, Shia, Druze, Sunni etc wote linapokuja Suala la Israel wote wanaungana ni kitu kimoja.
Hao wakristo Wa Lebanon/Palestina na wao wanauliwa kama Waisilamu tu, badala ya kuandika uongo humu kwanini Usitafute Ukweli kuhusu hao Wakristo wa Lebanon feeling zao zipoje? Kwanini uwasemee feeling zako wewe na nafsi yako inachotamani kama ndio ukweli?
1. Lebanon ina Raisi Mkristo sababu ya Hezbollah umoja wa wakristo na Hezbollah ndio uliokiingiza Chama cha Maronite Madarakani na Michael Aoun kuwa raisi.
Ushahidi
en.m.wikipedia.org
2. Wakristo wa Huo ukanda wao pia wana makundi yao ambayo anapigana na Israel, si Hamas peke yake ama Hezbollah ndio wanapigana, mfano mzuri wa Kiongozi wa wakristo ambae amewapa shida sana Israel ni George Habash na kundi lake la PFLP
Ushahidi
en.m.wikipedia.org
3. HAMAS ni kundi karibuni ambalo imetengenezwa na Israel ila siku zote huo ukanda Vyama vyao kama PLO cha Yasser Arafat vilikuwa ni mrengo wa Usocialist ni secular na Allies wao wakiwa Watu kama Nyerere, Mandela, Urusi, China, Korea etc
4. Lebanon ilivyo kuna makazi ya Wakristo, Washia, Sunni, Druze etc. Sasa hivi Israel anapigana na Hizbullah ila mabomu yanaenda sehemu kibao which has nothing to do with Hezbollah, so far wakristo kibao wameshafariki ila nyie mpo busy kuwasemea Walebanon badala ya kumuangalia adui yao.
Waacheni wakristo wa Lebanon waseme wenyewe wao ndio wanajua hali zao zipoje, propaganda zenu kawadanganyeni watoto wenu humu kuna watu wazima kibao.