Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
View: https://youtu.be/1FilzMxjcvY?si=oGgIaA5H4berEtlF
Hata myahudi anakubali Mtume Muhammad ndio aliye leta nuru, wewe mgalatians unapinga 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe huelewi labda ingia hata google , turkey ni sunni kwa 99% ni sawa na Qatar, Dubai , saudia na kuwait....Hao sunni ndio waislamu wanaopatikana dunia nzima ila shia ni jamiii ya watu kama iran , yemen na baadhu...Waislamu 90% ni jamii ya sunni ndio wastaarabu maana hata mtume alitokea katika makabila yao , japo kujiita suni sio sahihi ...Karibu kila nchi Duniani imepiga hatua ukilinganisha na mwaka 1979. Nasema ingekuwa mbali zaidi kiuchumi, kiteknologia, kijeshi na kibiashara labda zaidi ya Turkey.
Turkey baada ya mapinduzi 1923 chini ya Ataturk aliamua ku- modernise na kuifanya nchi iwe secular akajifunza technologia nyingi Ulaya, hasa Ujerumani. Iran ingeweza kufanya hivyo pia.
Wasomi kwenye nini mkuu.Madai yako sio kweli kabisa ndugu yangu , nitakujibu kwa fact , ina maana kushindwa huko nyuma 2006 hiyo sayansi ilikuwepo wapi ?
Wewe una elimu gani kwanza maana naoona unaropoka , kapigana Hezbollah basi unashambulia waislamu ..Saudia kainvest pesa nyingi kweny IA na pia Hijjah iliyopita walianza kutumia flying taxi ,mbona hoja yako sioni hapo .
Unasema wanwake hawaruhusiwi kusoma , je unajua kwamba Iran na nchi za kiislamu zina wasomi wanawake wengi kuliko wanaume !?
View attachment 3111334
Wanawake nchi za mashariki ya kati wamesoma sana , katika nchi za kiislamu wamesoma field ya STEM nikiwa na maana science, technology , engineering and mathematics ...Hawasomi sheria za feminist za wazungu 😀 wana sheria zao tofauti na wazungu ndio maana hwahesabu ...Huko canada wanawake ni wasomi wa sheria na mass communication ndio field wanaenda
View attachment 3111336
Unatafuta justification tu useme kuhusu uislamu , hiyo vita sio ya waislamu kwa sababu madhara ya vita ni makubwa sana tofauti na unavyojua ....Umoja wa waislamu wameweka misimamo yao ila sio kuweka vita wanajienga huko Dubai , Qatar , Saudia ....Usitafute visa wapo sunni waliofurahi kufa kwa hao jamaa kwa vile hawapendi vurugu
Karibu kila nchi Duniani imepiga hatua ukilinganisha na mwaka 1979. Nasema ingekuwa mbali zaidi kiuchumi, kiteknologia, kijeshi na kibiashara labda zaidi ya Turkey.
Turkey baada ya mapinduzi 1923 chini ya Ataturk aliamua ku- modernise na kuifanya nchi iwe secular akajifunza technologia nyingi Ulaya, hasa Ujerumani. Iran ingeweza kufanya hivyo pia.Bil
Iran imeamua kujichagulia mfumo wao unique wa kuendesha taifa na watu wao. Mfumo huo si pendwa kw wamagharibi. Mfumo huo ukibadilishwa tutaiona Iran tegemezi Kwa namna mbalimbali.Karibu kila nchi Duniani imepiga hatua ukilinganisha na mwaka 1979. Nasema ingekuwa mbali zaidi kiuchumi, kiteknologia, kijeshi na kibiashara labda zaidi ya Turkey.
Turkey baada ya mapinduzi 1923 chini ya Ataturk aliamua ku- modernise na kuifanya nchi iwe secular akajifunza technologia nyingi Ulaya, hasa Ujerumani. Iran ingeweza kufanya hivyo p
Hakuna waarabu wanaowafikia Shia kwa kusoma hata siku moja ,STEM yote unayoijua wewe ....Unajua lin kaanza kuwekewa vikwazo?Wasomi kwenye nini mkuu.
Mtu yeyote akikutana na jambo gumu akili inakuja mjomba. Ukiona mtu ni mzito ujue hana shida. Waarabu sio kwamba ni wazito ila hawajakutana na changamoto za kuwafanya wafikiri. Muajemi kakutana nazo lazima afikir ili aishi. Hii duniani ni kila ni survive of the fittest mzeeHakuna waarabu wanaowafikia Shia kwa kusoma hata siku moja ,STEM yote unayoijua wewe ....Unajua lin kaanza kuwekewa vikwazo?
Nchi kubwa ndio zinawekewa vikwazo turkey ni kadogo sana kwa Iran.
Shida ya waislamu ukiwaambia wanakuwa wakali sana sisi wengine ni wapagani pia mimi ni mwana history mzuri sana ....so si angalii dunia kidini naingalia dunia kama ilivyo na history yake ....uislam ni dini inayorudisha nyuma kiakili mataifa mengiNi kweli Iran ni taifa lenye watu wenye akili. Wana Historia ya kuwa moja la Taifa lenye nguvu duniani kwa miaka mingi sana na viongozi hodari kama Cyrus, Darius, Xerxes toka miaka ya 300 BC huko Ni kweli mapinduzi ya 1972 na kuwa hasa misimamo mikali yameirudisha nyuma sana.
Lakini kama watafanikiwa kuwa na strategic alliance na Russia ndani ya miaka kumi, hamsini, 100 ijao naona watakuwa vizuri hasa kama kutakuwa na super power nyingine sawa na USA kama China, India, Russia, Brazil, African Union, EU. Au kama BRICS itapata nguvu kubwa.
Wengi hawajui kuwa wanawake wa iran wamesoma na wanaelimu kubwa kuliko nchi nyingi za Africa ikiwemo Tanzania.Madai yako sio kweli kabisa ndugu yangu , nitakujibu kwa fact , ina maana kushindwa huko nyuma 2006 hiyo sayansi ilikuwepo wapi ?
Wewe una elimu gani kwanza maana naoona unaropoka , kapigana Hezbollah basi unashambulia waislamu ..Saudia kainvest pesa nyingi kweny IA na pia Hijjah iliyopita walianza kutumia flying taxi ,mbona hoja yako sioni hapo .
Unasema wanwake hawaruhusiwi kusoma , je unajua kwamba Iran na nchi za kiislamu zina wasomi wanawake wengi kuliko wanaume !?
View attachment 3111334
Wanawake nchi za mashariki ya kati wamesoma sana , katika nchi za kiislamu wamesoma field ya STEM nikiwa na maana science, technology , engineering and mathematics ...Hawasomi sheria za feminist za wazungu 😀 wana sheria zao tofauti na wazungu ndio maana hwahesabu ...Huko canada wanawake ni wasomi wa sheria na mass communication ndio field wanaenda
View attachment 3111336
Unatafuta justification tu useme kuhusu uislamu , hiyo vita sio ya waislamu kwa sababu madhara ya vita ni makubwa sana tofauti na unavyojua ....Umoja wa waislamu wameweka misimamo yao ila sio kuweka vita wanajienga huko Dubai , Qatar , Saudia ....Usitafute visa wapo sunni waliofurahi kufa kwa hao jamaa kwa vile hawapendi vurugu
Mkuuu wengi hawajui history mimi baada ya kusoma sana nilijua tatzo la middle east ni uislam kuwa sehemu ya uongo yaani secular state .....Indonesia inaendelea saba u uislam kwao nina secular so atleast wanapata auheni ila siku Indonesia wakisema wawe nchi Kiislamu 100% watapotea kabisa...... koz Uislamu huwa haupendi elimu dunia sansKaribu kila nchi Duniani imepiga hatua ukilinganisha na mwaka 1979. Nasema ingekuwa mbali zaidi kiuchumi, kiteknologia, kijeshi na kibiashara labda zaidi ya Turkey.
Turkey baada ya mapinduzi 1923 chini ya Ataturk aliamua ku- modernise na kuifanya nchi iwe secular akajifunza technologia nyingi Ulaya, hasa Ujerumani. Iran ingeweza kufanya hivyo pia.
Misri nayo chini ya Nasser 1952 ilifanya mapinduzi na kuanza ku-modernise, kama kujenga bwawa kubwa zaidi la Nishati, kuchukua Suez Canal, kilimo cha kisasa, kujenga viwanda vingi nk akihimiza umoja wa Waarabu na maendeleo ya wote. Hakuwa na misimamo mikali ya kidini kama Muslim Brothrhood au Iran baada ya 1979.
Kachek wa iran wawo wanataka nchi irudi before islamic revolution wanasema uislam unawapotezea muda ndo maana huwa kuna maandamano ya kutaka uongoz wa kiislam utokeKwamba Iran ya Leo ni isiyo na maendeleo kuliko Iran ya mwaka wa 1979?
Lebanon ni Christian country ambayo Waislamu wameivamia kwa kigezo cha ukimbizi.... na soon Lebanon wakristo watakuwa wageni kwenye nchi yao..... soma history ya Lebanon .... na katiba ya Lebanon lazima rais awe mkristo sio ombi ni lazima .....so kina fujo fujo waarabu wamefika Lebanon inaenda kuharibiwa .... na sooon litakuwa taaifa failed stateHebu fanya Research zako vizuri
1. Iran chini ya Shah ilipitwa na Tanzania kwenye Idadi ya watu wanaojua kusoma na Kuandika, Mapinduzi ya Sayansi yamefanywa na Ayatollah ndani ya miaka Michache wamepiga Hatua kubwa sana
2. Palestina nickname yao kubwa ni Most educated Refugees, wanaitwa hivyo sio bahati mbaya, they are so smart na Wana wanasayansi wakubwa vibaya mno, Hapo Palestina kuna Chuo kimetoa wanasayansi 7 ambao wapo Top 2% ya wanasayansi ambao wana contribution kubwa zaidi ulimwenguni.
![]()
Seven Birzeit University professors named among top 2% most impactful scientists in their fields in 2021
Birzeit researchers were recognized in the updated rankings for their influential, impactful research in various areas of studywww.birzeit.edu
Hata hapo Gaza kuna Wana sayansi wapo 2% japo vita haziishi.
3. Huko Lebanon ndio usiseme wapo everywhere hasa kwenye hizo science.
Issue hapa Hizi Nchi ni Changa zimetoka kutawaliwa miaka kadhaa iliopita, hawana Support ya Kifedha/kiuchumi it will take time.
Shida ya waislamu ukiwaambia wanakuwa wakali sana sisi wengine ni wapagani pia mimi ni mwana history mzuri sana ....so si angalii dunia kidini naingalia dunia kama ilivyo na history yake ....uislam ni dini inayorudisha nyuma kiakili mataifa mengi
Kumbuka kuwa Israel pekee ndiyo yenye Nukes middle east.Israel bila msaada wowote anaweza kuishinda Iran kijeshi??
Mafuta na gesi sio kikwazo sanaKinachaangusha Waarabu ni umoja. Hawana umoja. Ila wana kila kitu kuishinda Israel kasoro Technology na ushirikiano.
Wakiamua nchi zote za kiarabu wasiuze gesi na mafuta au kufanya biashara yoyote na Israel na washirika wake hata kwa miezi mitatu hadi Palestina wapate haki yao watafanikiwa tena bila kurusha kombola moja.
Ni nguvu muhimu, kikwazo kikubwa sana kama wataamua wasiiuzie EU, USA, Israel na au kuamua kutouza kwa dunia nzima hata mwezi mmoja tu mpaka wapate suluhu hapo Mashariki ya kati.Mafuta na gesi sio kikwazo sana.
Unajua kuwa ni kiasi kidogo sana middle east wanauza hayo mafuta na gesi USA NA EU?Ni kikwazo kikubwa sana kama wataamua wasiiuzie EU, USA, Israel na au kuamua kutouza kwa dunia nzima hata mwezi mmoja tu mpaka wapate suluhu hapo Mashariki ya kati.
Hivi Pakistan sio middle east, na iran pia anayoKumbuka kuwa Israel pekee ndiyo yenye Nukes middle east.
Haiwezekani kuishinda kijeshi nchi yenye Nukes kama wewe huna
Ni kweli wakiwa nje ya Iran wana mafanikio makubwa kwenye nyanja mbali mbali. Uchumi wa Iran ni mdogo kuliko mataifa madogo kama Israel, Singapore, Taiwan, Norway wakati wana wasomi wengi, maliasili kibao.Wengi hawajui kuwa wanawake wa iran wamesoma na wanaelimu kubwa kuliko nchi nyingi za Africa ikiwemo Tanzania.