Israel inatumia sayansi na Palestine inatumia imani

wewe huelewi labda ingia hata google , turkey ni sunni kwa 99% ni sawa na Qatar, Dubai , saudia na kuwait....Hao sunni ndio waislamu wanaopatikana dunia nzima ila shia ni jamiii ya watu kama iran , yemen na baadhu...Waislamu 90% ni jamii ya sunni ndio wastaarabu maana hata mtume alitokea katika makabila yao , japo kujiita suni sio sahihi ...

Iran alikataa utumwa ndio maana ana vikwazo daima , kwani lazima kuendana na USA? Uchumi wa kupiga ila sio nguvu Turkey hana nguvu ya kufika hata nusu kwa iran sio kwa kusoma wala ushawishi .
 
Wasomi kwenye nini mkuu.
 

Iran imeamua kujichagulia mfumo wao unique wa kuendesha taifa na watu wao. Mfumo huo si pendwa kw wamagharibi. Mfumo huo ukibadilishwa tutaiona Iran tegemezi Kwa namna mbalimbali.
Kutoka Iran tegemezi Kwa Kila kitu , shukrani Kwa vikwazo Leo Iran ni miongoni mwa nchi kiongozi katika mas Alla ya kiteknolojia, kisayansi, historia , kijeshi na hata uchumi.
 
Wasomi kwenye nini mkuu.
Hakuna waarabu wanaowafikia Shia kwa kusoma hata siku moja ,STEM yote unayoijua wewe ....Unajua lin kaanza kuwekewa vikwazo?

Nchi kubwa ndio zinawekewa vikwazo turkey ni kadogo sana kwa Iran.
 
Hakuna waarabu wanaowafikia Shia kwa kusoma hata siku moja ,STEM yote unayoijua wewe ....Unajua lin kaanza kuwekewa vikwazo?

Nchi kubwa ndio zinawekewa vikwazo turkey ni kadogo sana kwa Iran.
Mtu yeyote akikutana na jambo gumu akili inakuja mjomba. Ukiona mtu ni mzito ujue hana shida. Waarabu sio kwamba ni wazito ila hawajakutana na changamoto za kuwafanya wafikiri. Muajemi kakutana nazo lazima afikir ili aishi. Hii duniani ni kila ni survive of the fittest mzee
 
Shida ya waislamu ukiwaambia wanakuwa wakali sana sisi wengine ni wapagani pia mimi ni mwana history mzuri sana ....so si angalii dunia kidini naingalia dunia kama ilivyo na history yake ....uislam ni dini inayorudisha nyuma kiakili mataifa mengi
 
Sayansi imeshinda Elimu ya kesho Ahera imeshindwa vibaya sana.

Pelekeni Watoto Shule za Sayansi na Teknolojia.
 
Wengi hawajui kuwa wanawake wa iran wamesoma na wanaelimu kubwa kuliko nchi nyingi za Africa ikiwemo Tanzania.
 
Mkuuu wengi hawajui history mimi baada ya kusoma sana nilijua tatzo la middle east ni uislam kuwa sehemu ya uongo yaani secular state .....Indonesia inaendelea saba u uislam kwao nina secular so atleast wanapata auheni ila siku Indonesia wakisema wawe nchi Kiislamu 100% watapotea kabisa...... koz Uislamu huwa haupendi elimu dunia sans
 
Kwamba Iran ya Leo ni isiyo na maendeleo kuliko Iran ya mwaka wa 1979?
Kachek wa iran wawo wanataka nchi irudi before islamic revolution wanasema uislam unawapotezea muda ndo maana huwa kuna maandamano ya kutaka uongoz wa kiislam utoke
 
Le
Lebanon ni Christian country ambayo Waislamu wameivamia kwa kigezo cha ukimbizi.... na soon Lebanon wakristo watakuwa wageni kwenye nchi yao..... soma history ya Lebanon .... na katiba ya Lebanon lazima rais awe mkristo sio ombi ni lazima .....so kina fujo fujo waarabu wamefika Lebanon inaenda kuharibiwa .... na sooon litakuwa taaifa failed state
 

Nafikiri Shida ni misimamo mikali kwa karne hii ni vigumu sana kufanikiwa hasa hivi karibuni ukija mbadala wa nishati gesi na mafuta.

Kuna nchi moderate za kiislamu zinaenda vizuri kama Malaysia, Indonesia, Oman, Libya wakati wa Gaddafi, Turkey, Morroco, Tunisia, Egypt wakati wa Nasser.
 
Mafuta na gesi sio kikwazo sana
 
Mafuta na gesi sio kikwazo sana.
Ni nguvu muhimu, kikwazo kikubwa sana kama wataamua wasiiuzie EU, USA, Israel na au kuamua kutouza kwa dunia nzima hata mwezi mmoja tu mpaka wapate suluhu hapo Mashariki ya kati.
 
Ni kikwazo kikubwa sana kama wataamua wasiiuzie EU, USA, Israel na au kuamua kutouza kwa dunia nzima hata mwezi mmoja tu mpaka wapate suluhu hapo Mashariki ya kati.
Unajua kuwa ni kiasi kidogo sana middle east wanauza hayo mafuta na gesi USA NA EU?
 
Kumbuka kuwa Israel pekee ndiyo yenye Nukes middle east.

Haiwezekani kuishinda kijeshi nchi yenye Nukes kama wewe huna
Hivi Pakistan sio middle east, na iran pia anayo
 
Wengi hawajui kuwa wanawake wa iran wamesoma na wanaelimu kubwa kuliko nchi nyingi za Africa ikiwemo Tanzania.
Ni kweli wakiwa nje ya Iran wana mafanikio makubwa kwenye nyanja mbali mbali. Uchumi wa Iran ni mdogo kuliko mataifa madogo kama Israel, Singapore, Taiwan, Norway wakati wana wasomi wengi, maliasili kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…