Israel inatumia sayansi na Palestine inatumia imani

Imani haijawahi kumsaidia binadamu chochote.

Zaidi ya machafuko na mapigano.

Na hilo linathibitika waziwazi.
 
Mkuu, tuamini simulizi ya nani kati ya wewe na huyo mama hapo chini aliyezaliwa na kukulia Lebanon??
πŸ‘‡
 
Mkuu, tuamini simulizi ya nani kati ya wewe na huyo mama hapo chini aliyezaliwa na kukulia Lebanon??
πŸ‘‡
Boss that's not how it works, kama ni kutafuta opinion za mtu mmoja mmoja tutajaza server humu.

Majority ya Wakristo wa Lebanon ni dhehebu la Maronite, wakifuatiwa na Greek Orthodox, hao Maronite ndio wanatoa maraisi pia, unaweza ukaniwekea hapa Viongozi wa Maronite wanasemaje? Na opinion zao na views zao?
 
Mkuu,
It seems simulizi ya huyo mama ni halisi na kweli zaidi, hizi zingine ni porojo tu
 
Kwamba Malyasia, Indonesia, Brunei, Oman, UAE, Saudia, Kuwait, Qatar na wengineo viongozi wao wanatumia Mkono wa Chuma? Huna hata kimoja unachokijua kuhusu uisilamu zaidi ya propaganda.

Kama hujui Coup kwenye uisilamu ni Haramu huruhusiwi kabisa kumpindua kiongozi ndio maana unakuta nchi hizo zilizoshika Dini nadra kukuta wamebadili Viongozi kwa kupindua.
Hezbollah sio wahamiaji hakuna Mhamiaji hapo Lebanon wote hao vizazi na vizazi wapo hapo,

Siku hizi kuna Sayansi na studies kibao za Dna, Lebanon awe muisilamu ama Mkristo Genetic zao zinafanana, wote Halogroup J2.
 
Mkuu,
It seems simulizi ya huyo mama ni halisi na kweli zaidi, hizi zingine ni porojo tu
Kwamba Raisi wa Lebanon, MA Askofu, na wengine waliopo Huko hawajui ila random video ambayo nna uhakika hata majina ya anayesema humjui ndio ukweli?
 
Madaraka yapi wakatia mkristo sio miongoni mwa watu wa asili yao , hawezi kuwa Raisi ....Iran anaishi kwa vikwazo miaka kibao ....Huwezi kuifananisha Iran na Turkey hata kidogo ...Iran ni nchi kubwa achana na GDP za mchongo hazina uhalisia wa maisha na ukubwa .
Iran ni nchi ina washirika wake , kuna haja gani ya kumchukua jirani ambaye sio indigenous kuwa rais ? USA mashariki ya kati anapambana na Iran tu basi , wengine wote wako chini yake ...Iran imejitoshelewa acaha na GDP za mchongo hazina uhalisia .

Iran sio ombaomba anamzidi mpaka Israel kwa kujitegemea ....Achana na uchumi wa makaratasi hauna uhalisia πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Saudi Arabia wana akili sana. Wanaelewa hasara za vita
Pia saudia wanabeba maono ya waislamu wengi , yaani 90% ..Huoni ikitokea vita itakuwa ni chuki ya dunia nzima ...Iran na wenzio ni 10%
 

Hamas, houthi na Hezbollah watumie albadir tu inatosha
 
Turkiye anamshinda iran kwa mbali
 
Sijui Iran walingiiaje mkenge wa hii dini ya muarabu, ni watu wenye akili sana, top IQ, lakini Uislamu umewafanya mazombi ya kuvaa mikanzu tu.
 
Takbiriii
 


Iran ana potential ya kuwa na uchumi mkubwa kuliko Turkey, Germany, labda hata Japan. Sababu ya resources alizonazo na watu walioelimika. Turkey hana resources nyingi lakini Turkey ni hub ya biashara, wamewajengea SGR, kuna utalii kwa sababu ya Historia yake, utalii wa watu kufanya operation mbalimbali, viwanda vikubwa vya vitu mbalimbali.

Kinachomkwamisha Iran ni hiyo misimamo mikali nchi ni kama imefungwa.

Marekani, UK, Ufaransa wamekuwa viongozi ambao wazazi wao hawajazaliwa kwenye hayo mataifa. Wanaangalia vipaji, uwezo, sio umezaliwa wapi.
 
Halafu kobaz moja litakuja likuambie ooo Israel akiingiza ground force Lebanon atachapika sana. Wakati zile pagers zimewaacha uchi kabsa Hezbollah siri zao zote hadharani
 
Uzuri mimi kubishana na muislam huwa siwezi maaana nawajua wengi wenu ni tabaka la chini kielimu hata ukiemika huewelewi.....haya kijana endelea kusoma madrassa na kudanganyana misikiti..... ila jua elimu ni muhimu ....sio una google unakuja kujaza maneno hayaeleweki wakati tunaona vita kule nani anashinda haya mpe hi mtume ...pia kuna mabikra 72 wanakusubiria mbinguni mkuu
 
Ushaonesha makucha yako sio? Toka mwanzo huna haja ya discussion yoyote bali kutolea watu maneno ya Dhihaka.

Usiku mwema.
 
Sijui Iran walingiiaje mkenge wa hii dini ya muarabu, ni watu wenye akili sana, top IQ, lakini Uislamu umewafanya mazombi ya kuvaa mikanzu tu.
Mkuuu ni hivi iran persia ilikuwa inapigana sana byzantine empire aka east roman empire ambayo ndo uturuki sasa ...sasa haya mapigano yaliacha iran au persia ikiwa katika hali mbaya kiusalama pia byzantine katika hali kiusalama sababu vita ni gharama

Sasa wakati uislam unaanza kusambaaa walikuwa iran haina uwezo wa kijeshi kupigana na lile vugu vugu la kiislamu so ilibid wasalimu amri .....pia kule upande byzantine pia walikutwa hawana nguvu kijeshi nao wakasalimu amri kumbuka uturuki ndo chimbuko la ukristo duniani....lakini leo hii ni waislam wanakaaa pale
 
Ushaonesha makucha yako sio? Toka mwanzo huna haja ya discussion yoyote bali kutolea watu maneno ya Dhihaka.

Usiku mwema.
Sasa wewe unaona kinachoendelea middle east afu unakuja google zako wakati unaona middle vita nani anashinda na sababu ziko wazi.....kama sio elimu ya madrasa ni nini
 
Sasa wewe unaona kinachoendelea middle east afu unakuja google zako wakati unaona middle vita nani anashinda na sababu ziko wazi.....kama sio elimu ya madrasa ni nini
Kama huna hela omba uchangiwe mkuu siku hizi Hospitali ni Nyingi, maana si kwa kuchangayikiwa huku. Hebu Soma mwenyewe mada ulioanzisha na hiki ulichotype.

Mada inahusu wanasayansi, nikukumbushe tu mada yako maana naona unaingia huku unatoka kule hata hujui una discuss nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…