Israel inatumia sayansi na Palestine inatumia imani

Sasa nichangiwe hela na masikini kama wewe ...tahira kweli ..... mi nimekwambia angalia matokeo ya vita wewee unaaanza kugoogle kama sio utahira ni nini
 
Ili iweje? Superpower ibakie Marekani tu wengine wawe mataifa tajiri, vinginevyo mzani wa nguvu/dola utayumba na tutaumia. Imagine Saudi Arabia ndio iwe super power itakuwaji kwa ambao sio waislamu.

Tuliache tu hili kafiri la kimarekani na Liberty yao, kisha tulinde maadili yetu tu kwa ngazi za familia na taasisi. Haya mambo Mungu karuhusu yawe hivi kwa makusudi NAFIKIRI baada ya kuona juhudi za jamii husika na akiwapa wanafanya nini.

CHINA awe super power eeh Mungu tusaidie, juzi juzi tu walikuwa na kasera kao ka "consolidating mosques" ili kupunguza practice za uislamu. Nyuma kidogo kukutwa na biblia ilikuwa msala.

Sisi weusi ndio kabisa tunatengana kuanzia familia na familia, ukoo na ukoo, kabila na kabila kisha dini, sisi ndio tutulie kabisaa wakati mijamaa ina shape dunia kuwa sehemu salama kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…