Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

Mkuu vita umekiona? Great figures wa makabazi wameliwa kichwa imebaki roho tu😂😂😂
Haikuwa mikwara mkuu
 
Tumia akili yako vizuri hakuna nchi duniani inayoweza kwenda vitani peke yake. Russia mwenyewe haijaingia vitani na Ukraine peke yake anasaidiwa na China,korea kaskazini Iran na Afrika kusini na nchi zingine nyingi tu. Kwa Israel unaona ubaya gani!?
Lini uliwahi kutumia akili zako vizuri?
 
Wakati mwingine binafsi huwa nashindwa kumuelewa Trump - sasa hapo anataka kitueleza nini?? Kama Israel ilikuwa na uwezo wa kukabiliana na Iran kwa nini Natenyahu alikwenda kuomba msaada wa kijeshi kutoka
kwa Trump?? Trump yuko overly biases towards Israel, siku moja niliwahi kumuona/sikia akitoa impressions kwamba Israel ndiyo imeshinda vita, yaani anaifanya Dunia haijui kilicho kuwa kinaendelea - na kauli zake hizi anajaribu kuitishia Iran kwamba fanya hivi or ELSE!! Anasahau kwamba Iran haitishwi na mtu.
 
Wewe
Wewe endeleq tu kujifariji na kujipa moyo hapo Iran kapigwa kipigo cha Mbwa-koko. Kauli za Trump wewe kabuki huwezi kuzielewa kabisa!!!!
 
Quality ya missiles za muirani zina substitute matumizi ya aircraft
By far mkuu!! Naona vita hii ya juzi imeyafanya majeshi mengi Duniani yafikilie kama kuna umuhimu/ulazima wa kitumia ndege za vita (Fighters Bombers) vitani au yatumike deadly guided missiles Binafsi naona huko ndiko tunako elekea, walio invest kwenye kuunda ndege nk watakuwa wana regret sana sana!!!
 
Wewe

Wewe endeleq tu kujifariji na kujipa moyo hapo Iran kapigwa kipigo cha Mbwa-koko. Kauli za Trump wewe kabuki huwezi kuzielewa kabisa!!!!
Look, 4your information 'am not an average JOE my analytical mind is MEGA SMART amini unacho taka husitake kulazimisha watu au ku-resort kwenye abrasive language.
 
Look, 4your information 'am not an average JOE my analytical mind is MEGA SMART amini unacho taka husitake kulazimisha watu au ku-resort kwenye abrasive language.
Acha ujinga unachanganya lugha ili tukuelewe wewe ni Mwarabu-koko? Kama kiswahili andika kiswahili kama Kiingereza andikq tukuelewe!!! Acha ujinga wa kujifanya unajua kiingereza kumbe Mavi mtupu!!!
 
Look, 4your information 'am not an average JOE my analytical mind is MEGA SMART amini unacho taka husitake kulazimisha watu au ku-resort kwenye abrasive language.
Usijile huyo ni mwehu
 
Acha ujinga unachanganya lugha ili tukuelewe wewe ni Mwarabu-koko? Kama kiswahili andika kiswahili kama Kiingereza andikq tukuelewe!!! Acha ujinga wa kujifanya unajua kiingereza kumbe Mavi mtupu!!!

Usijile huyo ni mwehu
Well said thanks a lot - we fatilia fatilia anavyo wajibu watu humu.

Kama unavyo sema I don't think is mentally SOUND. Once again thanks a lot, be blessed.
 
Well said thanks a lot - we fatilia fatilia anavyo wajibu watu humu.

Kama unavyo sema I don't think is mentally SOUND. Once again thanks a lot, be blessed.
Anaamini sana kuwa anachowasilisha ni sahihi kuliko kitu chochote
 
Maneno mengi utendaji sifuri.

Vita ya kibiashara tu na China amenywea. Dunia ya leo hakuna mnyonge hasa kwa mataifa yanayojitambua kama Iran, North Korea, Russia nakadhalika.
Mkuu
 
Well said thanks a lot - we fatilia fatilia anavyo wajibu watu humu.

Kama unavyo sema I don't think is mentally SOUND. Once again thanks a lot, be blessed.
Ulivyo mjinga wewe unajitoa unztuzuga sana sisi!!! Kumbe ovyo kabisa Mwarabu-Koko wa Ibinzamata!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…