City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mi nilishamblock toka vita vilivyopita huwa sipendi watu wanafiki kusema kweli, kwani MTU ukisema pro Iran ama pro Israel kuna ubaya gani?Jamaa anakera na huo msemo wake halafu haoneshi sasa wanapodanganya wenzake ni wapi?
Tumetofautiana sana pia kwenye siasa za hapo bongo sababu ya kuwa muongo. Kama utataka nikukumbushe yote unayoongopa na mjadala tuliowshi kuweka basi karibuMi nilishamblock toka vita vilivyopita huwa sipendi watu wanafiki kusema kweli, kwani MTU ukisema pro Iran ama pro Israel kuna ubaya gani?
Trump anahaha...๐ฅ๐ฅ
Trump: wananchi wa Iran niliwaahidi na nimetekeleza. Mengine yapo ndani ya uwezo wenu. Marekani ipo tayari kuwasaidia
Mkuu, hivi internet inafanya kazi muda huu Iran?๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Hackers wamehack televesion ya taifa ya Iran, inarusha habari ya Trump na Netanyahu
View attachment 3550765
Kaomba ceasefire lini?Trump anahaha...
Ataandika huko social media achoke.. Atulie... Kaomba cease fire wamekataa... Atulie sasa.. Kawasha moto alioshindwa kuuzima...
Leo sijaconfirm Ila jana ilikua offMkuu, hivi internet inafanya kazi muda huu Iran?
Askari wa Iran wana haki ya kusurrender. Ni kama vile kila kambi ya Jeshi imepigwa.๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Trump: tumepiga mamia ya target ndani ya Iran. Tumepiga pia meli na majengo ya jeshi la majini
Hii dola ikianguka rasmi, Musk atapiga ela saana hapo Iran.Leo sijaconfirm Ila jana ilikua off
Kupitia Italy.Kaomba ceasefire lini?
Kwahiyo raia wanaotuma updates haza videos, wanatumia internet ipi? Au ndo zile za Musk?Leo sijaconfirm Ila jana ilikua off
Mkuu ungepumzika tu, ukimya pia ni jawabu na ni busara kubwa sana.Kupitia Italy.
Huelewi satellite phone zipo?Kwahiyo raia wanaotuma updates haza videos, wanatumia internet ipi? Au ndo zile za Musk?