Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Angekuwa hawezi angekubali ombi la ceasefire la Trump...
Si kweli, commanders wa kijeshi bado wapo..
Iranian navy ships almost zote zimezamishwa,na headquarters yao imekuwa totally destroyed, Air Force na air defense ziko grounded completely, alichobakiza ni ballistic weapons nazo wana attack kwenye silos zake, leadership gone na waliobaki wanawindwa kama sungura na wanajua wako wapi, hii itakuwa total surrender without any conditions
 
Inasemekana France anapeleka manowari zake middle east.
Pia Uingereza ameridhia kambi yake ya Indian ocean itumike dhidi ya Iran na USA.
Hali inazidi kuwa mbaya.Vita vinasambaa zaidi.
Dubai wameamkiwa tena.
Hawa Dubai watueleze walimkosea nini muajemi!?
 
Kuanguka kwa Gadaffi rasmi kulitamatisha utawala Libya,hivyo kwa Sadaam,Assad. Swali kwa nini kuanguka kwa Babu mpaka sasa hali imekua tofauti ? Tusubiri labda hali itabadilika ? Au Babu na uongozi wake mzima walibaki kama mapambo tu tayari madaraka walikwisha kabidhi muda mrefu sana kiasi cha kutokuleta athari za haraka mpaka sasa katika kuharakisha anguko la utawala ?

Au Iran ime prove wrong kuwa ni. nchi ya kimfumo na sio utawala wa mtu mmoja kiasi kwamba asipokuwepo yete yaanguka ?
 
Iran alisema akishambulia ataifanya vita kuwa kikanda naingia hofu na mashaka kwa kinacho endelea hii ni vita ya kulinda uhai wake.

Waarabu wawe makini sana kuhusu usalama wa tawala zao sina hakika kama Marekani ataweza wahakikishia usalama tawala zote za kiarabu hapo mashariki ya kati pale zitakapo tishika kuanguka.

Tuendelee kusubiri kuona mabadiliko yoyote.
 
Acha kujitia moyo kuanguka kwa kiongozi kama ayatollah ambaye kuwaongoza kwa miaka yote hiyo lazima kuwe na impact, na bado vita bado mbichi so tulia kwanza raundi hii naona Iran akikaa
 
Hizo tawala zianguke kwa sababu gani?
 
Mtu unamuheshimu kumbe yupo bize kufrahia vita🚮🤣,,

Wabara bhana🚮

Wanavyoshadadia,hile October 29 risasi TU Kijiji Cha Tz kilizizima,

Endeleeni kushangilia,HII SIO VITA YA KI DINI,HII NI VITA YA KIUCHUMI NA MAJESHI,

Baadhi mnaona ni kama simba na yanga,sijui mtakimbilia wapi🙌
 
Fighter jets 200 za Israel zimeingia in one night ndani ya Iran zimepiga target zaidi ya 60 za revolutionary guard, na zote zimetoka, Iran hana jeshi ana manati tuu
Anazitungulia hukohuko kwenye mahanga. Nasikia wale wadada wanazikimbia wanalala kwa hofu kwenye bunkers wakihofu bunker boosters
 
Wayahudi wanalia huko kwa nini Iran avunje makubaliano ya Geneva convention?
Iran wanapiga clustet sub- monitions warhead.. Bomu moja linapiga target 80..

Kama unaona mie muongo nikupe source...

Mnafikiri mchezo.
Si mchezo. Wacha waendelee kuzichapa tu.
 
Acha kujitia moyo kuanguka kwa kiongozi kama ayatollah ambaye kuwaongoza kwa miaka yote hiyo lazima kuwe na impact, na bado vita bado mbichi so tulia kwanza raundi hii naona Iran akikaa
Impact ni ndogo sana kwasababu uongozi wa Iran ni MFUMO sio tawala moja.
 
Wewe mtu Ayatolah angekusoma angekupa binti yake. Kwamba ndege zote za Israel zinashsmbulia kutoka nje ya mipaka ya Iran? Kwamba haziingii anga ya Iran? Okay.
 
Hawa waliouliwa ni makamanda au raia? Maana kamanda hakifa hakuna siri itajulikana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…