Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.He gave the death sentence to thousands of protesters.
Hii nzuri,ukiua kwa upanga unakufa kwa upanga ๐Ÿ˜„

Trump hua hacheki na wajinga
 
Acha mzaha mkuu, hakuna mshirika wa Iran atakayesogeza pumbu zake kumsaidia Iran hasa wakijua US yupo hapo.

China anajua vyema anavyotamaniwa na US, Russia anajua fika vitapelekwa vifurushi vikali Ukraine ili kupambana naye.

Hii ngoma Iran ni ngumu saana kwake sababu hapambani na Israel pekee.
 
Ubaya wa Iran ni kwamba anakosa hata sapoti ya wananchi

Hii ni mbaya sana maana hata wananchi wako wanaweza kushirikiana na maadui zako kukuangusha.

Ni sawa na kinachoendelea saizi hapa Tanzania halafu ikatokea tumevamiwa na US

Marekani ni mkorofi ila Sometimes nchi zingine zinafanya makosa makubwa ya kumpa sababu US.

Nchi ikiwa na utawala wa kiimla unaokandamiza haki za raia ikiwemo utekaji na mauaji, wananchi watachoka na kutamani kuona anguko la huo utawala.

Ni miezi kadhaa nimekuwa nikiona kwenye post za Trump kule IG raia wa Iran wana comment wakiomba Trump awasaidie, ni kama sisi tulivyokuwa tunafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ