Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Jeshi la Israel limethibitisha kumuua Reza Khazaei kamanda wa vikosi vya Iran aliyepo Lebanon. Alikua kiungo Kati ya Iran na Hezbollah
 
Yaani vita ya Iraq iliwacost miaka 8 dhidi ya Nchi Moja tu !? Ingawa wao walikuwa wapo kibao na team nzima ya NATO !?

So wanatoaga wapi guts za kumcheka Russia kuhusu Ukraine!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…