Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

China itashiriki kushambulia Israeli:

"Malaika wa sita akamimina bakuli lake kwenye mto mkubwa Frati, maji yake yakakauka ili kutayarisha njia kwa ajili ya wafalme kutoka Mashariki."
Ufunuo.16.12.NENO



"
Ile sauti ikamwambia yule malaika wa sita mwenye tarumbeta, “Wafungulie wale malaika wanne waliofungwa kwenye ule mto mkubwa Frati.”

Basi wale malaika wanne, waliokuwa wamewekwa tayari kwa ajili ya saa hiyo, na siku hiyo, na mwezi huo, na mwaka huo ili wawaue theluthi ya wanadamu wakafunguliwa.

Idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili. Nilisikia idadi yao."

Ufunuo.9.14-16.NENO
 
Allah Awafanyie wepesi waSunni wa Iran na watu wengine wasio na hatia yoyote, Allahumma Aamiin.
 
Hii ni mbaya sana pale unapokosa backup ya raia wako... The same na idd Amin wa Uganda na vita ile ya kagera......

Wewe ukitaka kujua raia wanamchango wao kwenye vita,angalia au rejelea vita ya U.S na Vietnam..raia walikuwa upande wa jeshi la hoi chi Minh ,unajua kilichompata mmarekani kwenye vita ile
 
Wewe jihadist acha uongo wako. Israel kuna makanisa sasa huko Saudi Arabia kuna kanisa wapi.
 
Acha kupiga kelele za makobaz

Subiri tuondoe Khomeini evil regime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…