MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Iraq ilikuwa haina tech na capability kama ya Iran, ila US na NATO iliwachukua miaka nane.Kwa hali wanayo ipitia NATO ya kiuchumi baada ya Corona na Ukraine, msuli wa kifedha wa kupigana na Iran hawana, so vita itabakia kuwa na US na Myahudi, so hapo labda wapigane miaka hamsini vita sio sindimba,hii vita sio ya leo wala kesho, hapa mnamaliza miongo hata mitano. Hamas na silaha zao za kuungaunga na kuokoteza ,Myahudi imemchukua zaidi ya mwaka na nusu.Iran mwenyewe yupo hatua za mwisho za kushindwa vita! Jeshi Lao siku sio nyingi linarudi ground zero! Litabaki kuwa kama vikundi vya IS na al shabab
Hata wangepiga kombora 200, Ayatollah ilikuwa inafamika alipo, kama mtu yupo na familia yake kuna siri gani hapo, ina maana hata jirani alijua mzee Ayatollah yupo pale.Kombora zimepigwa 30 ambazo ni high target
Vikundi vinavyoissuport Iran ni vichacheNaona sasa hivi wanajeshi wa US watajiuliza kama wakipangiwa kambi za middle east.Mda huu vikundi vingine Iraq vinavyo msupport Iran, zimeripua kota wanazokaa wanajeshi wa US Iraq.
Iran alikuwa anaisubiri sana hio match.💥💥💥💥
Chanzo kutoka Israel kinasema Saudi Arabia anaweza kuishambulia Iran hivi karibuni/punde
Ngoja tusubiri, panakaribia kuchangamka mkuuIran alikuwa anaisubiri sana hio match.
hivi wameuliwa makamanda 48 tena wote ngazi za juu alafu unasema overrate? wameuliwa wakuu wa idara za ujajusi, mawaziri wa ulinzi, wakuu wa majeshi. unasemaje hicho kitu ni cha kawaida aseee? kama mkuu wako wa ujasusi ameuliwa je wewe ni nani hadi ubaki salama?Hata wangepiga kombora 200, Ayatollah ilikuwa inafamika alipo, kama mtu yupo na familia yake kuna siri gani hapo, ina maana hata jirani alijua mzee Ayatollah yupo pale.
Wala haikuhitaji sifa mnazowapa hao mossad kwamba ni hatari kutambua Ayatollah alipo.
Hivyo una wa overrate sana Mossad as if ni watu wanajisadia vyuma...
Saudi Arabia amejichimbia kaburi.Kobazi jiandaeni kuchagua timu
Israeli reporter quoting Israeli official - we assess that Saudi Arabia is going to attack Iran soon after yesterday’s attacks
Fake. Hizi zimejaa kibao mtandaoni.