City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Vita imeshamshinda.Hivi aibu haoni?
Baada ya tatu ? 4,5,6,7,8,9,10.......................π₯π₯π₯π₯
Trump: Kuna awamu ya tatu ya mashambulizi inakuja, yatakua mashambulizi makubwa sana
Ngoja tusubiri mkuu, hii Leo ilikua awamu ya pili. Labda kesho itaanza awamu ya tatuBaada ya tatu ? 4,5,6,7,8,9,10.......................
Hiyo ya tatu itachukua muda gani ? Maana anazidi kuongeza tu awamu
Tatizo la Trump anaropoka sana kila kitu kinacho zunguka ndani ya halmashauri ya ubongo wake kama vile sio Rais wa taifa kubwa kama U.Sπ₯π₯π₯π₯
Trump: kuna mtu mmoja ndani ya Iran ndio anafaa kuchukua nafasi ya uongozi baada ya sisi kumaliza hii operation
Wewe Jamaa huna akili! Unashangilia nini hapa? Unadhan Israel ikiamua kupiga na raia wa Iran purposely! Itabakiza kitu?? Au unataka Iran igeuzwe Gaza.???Kipindi unadhani kipigo ni AI, wenzako wameanza kutia huruma huko.
Ha ha ha, dunia inaenda kasi sana.
View attachment 3551930
Ni kuwa hawana sababu yeyote ya muhimu kuliingiza taifa la Marekani kwenye hio vita zaidi ya maslahi binafsi.maelezo ya Rubio na Heghseth nin tofauti na ya Trump kuhusu kwanini wamemshambulia IRan hii ina maana gani wataalam?
Yeye na Israel wameua watoto wangapi majuzi ?π₯π₯π₯π₯
Trump: karibu waandamanaji 35000 waliuliwakwenye maandamano nchini Iran
Huyu mzee awahishwe milembe.π₯π₯π₯π₯
Trump: karibu waandamanaji 35000 waliuliwakwenye maandamano nchini Iran
Kwamba wafunge camera kwenye Kombora?Mbona USA wanaweza kutoa footage kutoka kwenye ndege zao? Iran watoe footage zao wanapopuga sensitive targets za Israel.
Wacha UFALA wewe,Israel toka lini ikawa na huruma na raia?Wewe Jamaa huna akili! Unashangilia nini hapa? Unadhan Israel ikiamua kupiga na raia wa Iran purposely! Itabakiza kitu?? Au unataka Iran igeuzwe Gaza.???
Kupigwa si kumalizwa.Almost all US bases hit by Iran: Is America unable to safeguard its Middle East military assets? - The Times of India
International News: NEW DELHI: Hours after the killing of Iranβs Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei in a sweeping USβIsrael operation, Tehran launched what it describe.timesofindia.indiatimes.com
Vita inayoendelea sasa hivi ni kuwasaka Askari wa USA wamejificha Hotel gani wauliwe, there is a reason kwanini USA katoa tamko kila MTU ajifiche kivyake, sehemu zote zilizoandaliwa Iran anapiga humo humo anawaua,Bila ubishi USA haina active base mashariki ya kati.
Kama zingekuwepo wasingeomba Uturuki na Cyprus watumie kambi zao.
Bahrain,Qatar,Kuwait,UAE,Saudi Arabia,Iraq,Jordan kambi zote huko zimelipuliwa.
Kwa akili yako USA kambi zake ziwepo aende Cyprus,Uhispania na Uturuki kuomba kambi ya kupigania!??
Yaani aliposema Iran ingeanza kuwashambulia ndipo nikasema huyu mzee ni kichaa..πππ
Huyu mzee aisee
Sasahivi anatoa mipasho kwa UK na Spain
Anasema hawana msaada wala kutoa ushirikiano
Mwehu huyo sikuwahi muelewa toka first term na supporters wake hivi nao punguani kama yeye statesπππ
Huyu mzee aisee
Sasahivi anatoa mipasho kwa UK na Spain
Anasema hawana msaada wala kutoa ushirikiano
Chini ya kapeti Kuna mambo mengi so Kama Kuna mambo huyajui we tulia bossNimeipima Mossad kwa uwezo inaodaiwa kuwa nao kwa pale Gaza, je mateka 200 waliwapata, wao si wakali wa ujasusi? Hamas wana fedha yeyote , Palestine ni masikini, je mateka walipatikana?
Kwa akili yako unafikiri Ayatollah alikuwa na mpango wa kuachana na nuclear, miaka 30 kila siku mazungumzo, na alishasema nia ni kuifuta Israel duniani π, mjinga tuu ndio atasubiritrump si ndo alianza kujitoa kwenhye mazungumzo alivoingia first term, kama kawaida shinikizo bibi neta