Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wewe huelewi chochote...
Encrichment ya uranium ya Iran imefikia 60%, inachukua week nne tu kwa centrifuges za kisasa alizonazo Iran kama Ir-9 kurutubisha hio nuclear ifikie 90% ambayo ni weapon grade.

Hivyo Khamenei ndiye alikuwa anakataza kumiliki WMD sababu ya misimamo yake ya kidini.

Lakini walikuwa na uwezo wa kumiliki warhead za nuclear miaka nyuma....

Kama hypersonic ni nyepesi hivyo, wangezitumia WWII kama walivyotumia nuclear bomb.

Kombora linalosafiri kwa kasi ya mach 13 sawa na 16,000 km/h(elfu kumi na sita kilomita kwa lisaa au kilomita 4.4 kwa sekunde) na hapo linafanya maneuvering, linatoka Iran hadi Israel na linapiga target unasema haina cha maana zaidi ya speed kubwa?

Unalinganisha nuclear physics na rocket science 🤣
 
Jamaa ana hali mbaya, anategemea mashambulizi ya anga so baada ya kambi zake nyingi kupigwa,plus meli yako ya Lincoln kupigwa, ana maeneo machache ya ndege zake kutua na kujaza mafuta pamoja na maintenance za ndege zake.
Anataka atumie kambi za ulaya.

Trump ni kwamba hii vita hakujua reaction ya Iran itakuwaje au ushauri aliopewa aliupuuzia ?
 
Yaani Iran anatengeneza hypersonic ambayo hata Israel na US hawana aje ashindwe kutengeneza nuclear ambayo ni tech ya vita kuu ya pili ya dunia are you serious? South Africa yenyewe ilishakuwa na nuclear missiles miaka 1990s...
Hana hypersonic was just a dubious claim 😂
 
Anataka atumie kambi za ulaya.

Trump ni kwamba hii vita hakujua reaction ya Iran itakuwaje au ushauri aliopewa aliupuuzia ?
Wenzake wamemchoka nchi za ulaya nyingi hali zao za kiuchumi si nzuri,Corona na vita ya Ukraine zimeharibu sana chumi zao na sasa hivi tayari bei ya mafuta tayari imepanda, ila yeye US ana mafuta yake ya Wizi Venezuela, aliyoiba baada ya kumteka Maduro.
 
Israeli ni sawa na mandonga tu. Muache ashambulie kwa nguvu kwa kujipa moyo. Sisi tilishajiandaa kitambo kwa vita ya muda mrefu. Mambo yetu tumeyaweka chini ya ardhi na hawana uwezo wa kuzifikia

Tunamwangalia jinsi anavyojichosha na haya yanayotokea tuliyatarajia. Plan yetu inakwenda vizuri sana. Adui ameingia mtego na atajuta
 
Biti hilo mkuu, Iran hana nuclear. Awe na Nuclear na Myahudi asijue? Sio kweli.
 
Wenyewe Iran Wana falsafa kama Ile "Kata MTi panda MTi, wanakwambia kila Kombora moja likirushwa hapo hapo wanatengeneza jengine kuli replace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…