ImaniKwani huo mkutano ungefanyiwa kwenye mkao ya chini ya ardhi hiyo Israel ingewauwaje?
Tena inasemekana kuwa maafisa wa ujasusi wa Iran walimuonya juu ya kufanyia mikutano kwenye makazi yake kwa wakati huu lakini yeye akakataa maonyo yao.
Na hii ndo hasara ya kutanguliza siasa kwenye mambo yanayo hitaji akili
Yaani drone inapita kama kipepeo ila technology shikamoo 🙌😄
Inchi nyingi za middle east zinaenda kuishiwa Interceptors za kuzuia mabomu, Qatar na UAE stocks waliyo bakia nayo haizidi wiki inawezekana Bahrain nao stock itakuwa imekata.So baada ya wiki kila kilicho cha US (Kambi na Balozi zake) ndani middle east kitakuwa kimelipuliwa na Iran wametangaza mwezi mmoja wa maombelezo na wamesema katika kipindi hiko hawato poa. So US sasa hivi kichwa kinamuuma anategemea mashambulizi ya anga ,ila mda si mrefu atakosa eneo la ndege zake kutua na kujaza mafuta,pamoja na maintenance ndogo ndogo. Kuna uwezekano baada ya hapo ,Iran ndipo atahamia kwa Myahudi full mazima,kwani atakuwa amempunguza nguvu US.
Iran ni mjinga, hakupaswa hata kwa bahati mbaya kutengeneza uadui kati yake na Majirani zake.Ila kwa ground Iran ndio anachezea kichapo au? Tangu jana mashambulizi ya Iran yamepungua ila Israel ndio anashambulia sana. Ni strategy au pumzi inakata?
Kakamatwa pabaya.Duhh !! Kashikwa pabaya na Jewish Mzee ni Malaya Malaya huyo Anaogopa file la Epstein kuleak , kaona kama mpaka Bill gate na Bill Clinton wameanikwa basi soon atafuata yeye 😁😁
Iran yeye alidanganywa na Wachina kapewa Radar sijui midudu gani.Mbona USA wanaweza kutoa footage kutoka kwenye ndege zao? Iran watoe footage zao wanapopuga sensitive targets za Israel.
UONGOIran imesha maliza base za US zote middle east.
Tatizo ni kuwa ushindi mnaona ni Ayatollh kufariki, mzee wa miaka 86, hivi ukitoa kifo cha Ayatollah Israel imedhoofisha vipi jeshi la Iran hadi sasa?
Kwa mashambulizi anayofanya Israel na US kwa pamoja kama isingekua hizo radar unazozidharau muda hii Iran ingekua Gaza.Iran yeye alidanganywa na Wachina kapewa Radar sijui midudu gani.
Hata waliokuwa wakisema kuwa jeshi la Venezuela lilizima radar wamekaa kimya
Kilichonishangaza ni hatusikii wala kuona Navy ya Iran ikishambulia meli za MarekaniJeshi la wanamaji na la anga la Iran ni upuuzi tu pale uliopo huwezi kuwa mfuatiliaji au mchambuzi wa siasa za kimataifa ukasema Iran ina serious Navy na Air force.
Acha UONGO wewe hakuna base operational middle east kwasasa.UONGO
Hizo base bado operational
Afu habari ya JumamosiMbona haisemi kuwa Iran imezimaliza bases zote?
Acha UONGO wewe hakuna base operational middle east kwasasa.UONGO
Hizo base bado operational
Huenda huelewi.Kwa mashambulizi anayofanya Israel na US kwa pamoja kama isingekua hizo radar unazozidharau muda hii Iran ingekua Gaza.
Kila shambulio Israel na US wanapeleka ndege sio chini ya 150 kwa mujibu wa ripoti zao wenyewe.
Mbongo akishakula mihogo yake tu na akawa na vi GB kadhaa kwenye simu,basi ni kulala tu na kukichafua mtandaoni 😆.Ila Wabongo. Tuko Buza ila tunajua kuliko wataalam wa Iran,Israel na USA.
Bunker bustersKwani huo mkutano ungefanyiwa kwenye mkao ya chini ya ardhi hiyo Israel ingewauwaje?
Tena inasemekana kuwa maafisa wa ujasusi wa Iran walimuonya juu ya kufanyia mikutano kwenye makazi yake kwa wakati huu lakini yeye akakataa maonyo yao.
Na hii ndo hasara ya kutanguliza siasa kwenye mambo yanayo hitaji akili
Tahira ambaye anaizidi ukoo wenu kila kituHuyu ni Rais tahira Marekani kuwahi kumpata katika kipindi cha karibuni.
View: https://x.com/i/status/2028881742355153129
Vita ikiisha ndio hujitokeza tena sio ulaya hata hapo uarabuni na Asia kiujumlaUsiwaamini wazungu na hizi propaganda.
Nchi za ulaya wanajidai hawaungi mkono US kwenye hii vita ili kupunguza mashambulizi wanayoweza kupata kutoka Iran na vikundi vya kigaidi, lkn subiri kwenye finishing utaona washirika wote wakijiweka wazi.