Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Na raia wa US walipoona askari wao wanakufa sana wakataka vita vikome, US akarudisha jeshi nyumbani. Raia wana nguvu sana sana.
 
Hizo ni porojo tu za masjid ubwabwa, taifa la Israel lipo ndio hilo na anayepinga ni kwa kiburi chake tu lakini ukweli unabaki palepale kwamba taifa la Israel lipo hapohapo mashariki ya kati.
Taifa la Israel limeundwa 14 may 1948 usifikiri huo mvutano wa migogoro ya kupigania haki umezuka tu
 
Kwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?
Anapiga kambi za Marekani kwanza kudhoofisha logistics ya silaha zilizo karibu naye kwanza hili kupunguza mashambulizi,maana hata shambulio la kwnza kabisa limetokea Jordan
Kwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?
 
Mkuu,kama raia hawakupendi adui atawatumia kukuangamiza na hiyo ndio njia rahisi zaidi ya adui kuuangusha utawala wa adui. Ni mojawapo tu ya mbinu za kivita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…